Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

sipend kuota ndoto mbaya , ndo maana nimezoea ubavu . Vipi umeamkaje ?
Mimi nikichoka sana najikuta nimegeuka
Pona yangu labda nilalie ubavu ila Kwa tumbo
Sasa huwa nachoka sana kulalia tumbo.

Mungu ni mwema, niko poa.
Jana mida ile usiku nilianza kushona Shona doormat
Ila fundi niliyempa anishonee mfuko kwa pembeni ni kiazi sana.
Itabidi niushone tena na mkono maana unafumuka.
 
ushazoea mwenyewe kulala hivyo . Nashtuka sana usiku nimezoea kulala peke yangu , napata shida nikilala na mtu , mara akorome au kuongea na simu . Sijui
 
Mimi nikichoka sana najikuta nimegeuka
Pona yangu labda nilalie ubavu ila Kwa tumbo
Sasa huwa nachoka sana kulalia tumbo.

Mungu ni mwema, niko poa.
Jana mida ile usiku nilianza kushona Shona doormat
Ila fundi niliyempa anishonee mfuko kwa pembeni ni kiazi sana.
Itabidi niushone tena na mkono maana unafumuka.
eh unaweza mwenyewe usiku ule , ukaanza kushona
 
Back
Top Bottom