Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… anipeleke kwanza malaika alafu ndio tumalizie tunza .. ingawa tajiri apangiwi
Na alivyo atataka kila kitu aamue yeeye. Sasa huko Ankol macho yasiwe juu juu watoto wa Kisukuma wamejazia haswaaa...
Utulie kabisa , wana watu wao matajiri wa Mwanza, wasije kukuingiza mkenge Ankol wetu.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… tajiri habishiwi, akitaka hata nifute viatu vyake kila baada ya dk moja nitakubali tu..
Nikiwa na boss kubwa na mie nakuwa tajiri ... hao watoto mie siwezani nao sina meno hata
 
20230321_155451.jpg
 
Back
Top Bottom