Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,974
- 177,195
Usijareee mjomba wangu!! Wewe tenaaa!!😊😊😊😊 usichelewe nasubiri uninyweshe
Usijareee mjomba wangu!! Wewe tenaaa!!😊😊😊😊 usichelewe nasubiri uninyweshe
Lunch wanakula wengi Bonasera, Tilapia, Mwanza hotel, Gold Crest, Hasfu food, Waghill ndogo.🤣🤣🤣 jumanne watu hawalagi
Na tusio na kazi wala nyumbani tunaenda wapi hiyo jioni🤣🤣🤣🤣 pale Hasfu food huwa napaelewa sana ila naenda tu kama kuna jambo paleLunch wanakula wengi Bonasera, Tilapia, Mwanza hotel, Gold Crest, Hasfu food, Waghill ndogo.
Alfu jion hii wanatoka makazini kwanza kwenda kutuliza vichwa nyumbani.
Mnaenda popote roho inapendaNa tusio na kazi wala nyumbani tunaenda wapi hiyo jioni🤣🤣🤣🤣 pale Hasfu food huwa napaelewa sana ila naenda tu kama kuna jambo pale
Kuna totozNa tusio na kazi wala nyumbani tunaenda wapi hiyo jionipale Hasfu food huwa napaelewa sana ila naenda tu kama kuna jambo pale

Famasihara eehMnaenda popote roho inapenda
Mambo yetu yale wengine yani 🤣🤣🤣🤣Mnaenda popote roho inapenda
Totoz zitokee wapi ndugu..Kuna totoz![]()
well done Anne , unaziuza bei gani hizi
Natamani nipae nifate blanket nyumbani lol ..Leo daslama kuna baridi kama mkoani
Siuziwell done Anne , unaziuza bei gani hizi
Jioni hii baridi imekolea hadi nimejifunika kitengeNatamani nipae nifate blanket nyumbani lol ..
oh kumbe , navitamani niwe nacho hapa .. Uzuri wa hizo hazichakaiSiuzi
Kuna watu wanashonea
Za kipindi kile kila mtu akawa anang'ang'ania.
such a cool weather , nishajiandaa kusinzia .Jioni hii baridi imekolea hadi nimejifunika kitenge
dah! Leo nipo hapa.Forever and always Kapachino juzi ulipotea ukapitwa na vitruuu vikareeee!!✌️✌️
Shona hata kadogooh kumbe , navitamani niwe nacho hapa .. Uzuri wa hizo hazichakai
Usingizi unakuwa mtamu mvua ikinyeshasuch a cool weather , nishajiandaa kusinzia .