Si ndio hapo tenesco wanafeliwamegoma aisee kurudisha ,
Tumesha poa ndugu mjumbePoleni san ndugu mjumbe walai leo mbadilishe hali ya hewa kidogo
mbona sinaga hicho lolNataka uniandalie kipochi manyoya
Oya twende ukamilizie kisa chakoNataka uniandalie kipochi manyoya 💕😘
ngoma hadi jioni hii , sema simu zitazima .Si ndio hapo tenesco wanafeli
Si unajua ndoto zangu nakuota wewe tu 😊😊😊, badae nitakusimulia namna nilivyo kuota.. ndio kausingizi kameisha hapaHongereni sana wapendwa!! Naona na Shyinyanga Itakua imenyesha na National Anthem saii anaota kwaraha zakee!!!
Najua unaniwezea yani 😊😊 goja sasa nioge nikae mguu sawa, out yetu ianzeUsijareee nipo makini hapa on the spot nakuamsha mjomba wangu!!
Petrol/Diesel na gesi?

Nami niko kwa duvet, hali ya hewa inaruhusu leo. Tunasubiria game kwa hamu.Nimekumbatia mto tu hapa Yani Ni full mateso best: uku nikisubiri gemu
Antonnia kuwa na huruma na kapachino anateseka Sana.
Sijamuona mweee,



Haha Ngoja inyeshe tuone inapovuja.Nami niko kwa duvet, hali ya hewa inaruhusu leo. Tunasubiria game kwa hamu.
Eendiwoooooooo reoo ni reeeooooo Kapachino!Haha Ngoja inyeshe tuone inapovuja.
All the best
Nimechekaaa balaaa Huu usela ninouuuuuma!Hii Kali,![]()
Umechelewa Ametupia na jembe lake ka mapacha vileSijamuona mweee,![]()