Hustler one
JF-Expert Member
- Mar 17, 2022
- 507
- 1,339
Vile ni zari sasa!!Muwe na mchana mwema wapendwa!!
sumbai National Anthem Bantu Lady kiduku mpapaso Kapachino nyingine badae tukiwa tunashangiliaaa ushindiiii😁😁
Vile ni zari sasa!!Muwe na mchana mwema wapendwa!!
sumbai National Anthem Bantu Lady kiduku mpapaso Kapachino nyingine badae tukiwa tunashangiliaaa ushindiiii😁😁
I can't wait...Tukifunga Yanga nakuja kuwabless kwa furaha... tukutane usiku![]()
njoo unisaidie kutoa maji ndani . Mbona hujibu sms zangu ?
Ewaaa jpili murua
Natamani yanga afungwe lakini hii mikwara tunao pigwa tunatamani tena yanga ashinde mtihani mnatupaNakaziaaaaaaaaaaaaaaaTukutane usiku
Na sisi ndiyo wenye hii nchiWoyoooo Wananchi ndiyo wenye nchi sisi... Leo tunaenda kumaliza ubishi Yanga kiboko yao![]()









Na hii mvua hii sijuiNa sisi ndiyo wenye hii nchi![]()
Mchawi sio lazima arogee ndugu mjumbeNatamani yanga afungwe lakini hii mikwara tunao pigwa tunatamani tena yanga ashinde mtihani mnatupa
Wacha tusubirie mda ufike msije mkatuletea aibuKam kauwaa huku tukisubiriaa Wananchi waue mtuuu badaee!!![]()
Tunapenda yanga ashinde lakini kuna watu wanakera wakishindaMchawi sio lazima arogee ndugu mjumbe
Wananchi Tunasheeendaaaaaaaaaa![]()
Vile ni zari sasa!!
Yerewiiiiiii Bantu Lady unapitwaaa hukuuuuu mkaka mtramuuuu auweeeeehhh 😍😍!!Argentinaaaaa.
Bantu lady...View attachment 2557926
Hahaha hausi gerooo habakwi Ila anasaidia majukum ya mamaaaa
Usijareee nipo makini hapa on the spot nakuamsha mjomba wangu!!Utaniamsha basi eeh 😊😊😊
Aah wee 😀 , huoni nimewahi mambo mazuriUshafika hukuu mara hii☺️😁!
Achana na hilo pilau twende ndani nikakupe chakula kingine.limeiva baba , pole na njaa , gesi imekata mara huku mvua , mara umeme umekata hatuwezi pika kwa umeme .
Fanya wepesi lile smile katibu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!Aah wee 😀 , huoni nimewahi mambo mazuri