Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,983
- 177,206
Amen amen mjomba!😅😅 goja tuvute subira wanaweza wakala hata tatu kipindi cha kwanza
Amen amen mjomba!😅😅 goja tuvute subira wanaweza wakala hata tatu kipindi cha kwanza
Basi itakuwa asili yako pia ni nywele ndefu.Huwa tu nasuka na kuweka stimin mara moja moja,naziwekea dawa ila sio mtunzaji vile nipo mvivu
Watuambie dawa gani nzuri,mafuta yanayojaza nywele
Basi itakuwa asili yako pia ni nywele ndefu.
Mimi zangu hazina dawa.
Kuchana tu zinauma hatari.
Mimi nimeweka ITVNaangalia kosa moja
dawa nzuri za box hasa mega na olive , wanasema ufanye pia deep conditioning ,mafuta nahisi ni wewe tu kuamua japo ya maji huwa mazuri for relaxed hair ,Huwa tu nasuka na kuweka stimin mara moja moja,naziwekea dawa ila sio mtunzaji vile nipo mvivu
Watuambie dawa gani nzuri,mafuta yanayojaza nywele
Hahaha jay anachekesha jamani candy kaenda kuishi kwa Jay na naa yupo 😂😂😂😂Mimi nimeweka ITV
Leo yupo Farhia,huwa napenda anavyo introduce taarifa ya habari.
Huyu dada ndiye anayenifanya nipende kuangalia taarifa ya habari.
Kosa Moja ananichekesha j😂
dawa nzuri za box hasa mega na olive , wanasema ufanye pia deep conditioning ,mafuta nahisi ni wewe tu kuamua japo ya maji huwa mazuri for relaxed hair ,
Ulimuona muda ule wamefumaniwa akabadili gia angani🤣🤣Hahaha jay anachekesha jamani candy kaenda kuishi kwa Jay na naa yupo 😂😂😂😂
pole mwaya , olive ilinifanya nikate nywele 2018 , nimeipaka baadae nikarudi za kopo , nywele huku chini zikakatika zote . .. So watumia dawa ipi sasaOlive nilikuwa natumia ila inanifanya nywele zinasinyaa zinakuwa chache nadhan hiyo inawafaa wenye nywele nyingii sanaa zimejaa
Ulimuona muda ule wamefumaniwa akabadili gia angani🤣🤣
Akaanza kumfokea Naa.
Eti unapanda bodaboda sisi tumetoa hela nyingi wewe unajirisk tu kupanda boda
Ulienda nyumbani nani alikupa ruhusa?
Anaondoka,karafiki kake Naa kanamwambia bye Shem darling
Anafuatisha eti bye Shem darling
Yaani nilicheka hiki kipande😂
Na Cha Jana anasema Caty afungue label yake ya wazee
pole mwaya , olive ilinifanya nikate nywele 2018 , nimeipaka baadae nikarudi za kopo , nywele huku chini zikakatika zote . .. So watumia dawa ipi sasa
Tayari.
Naked kama zoutreeee leo cousin badae ukujeee au nasema uongo mbantu mwenye Shepu lake matraaatraaaaa sanaaaa East Africa kusini na Kaskazini koutree Bantu LadyTayari.
inauma sana , mimi ndo maana sipendagi kuwekwa saluni , kuna mdada aliniunguza kwenye ngozi .Napaka movit niliambiwa kuwa inajza nywele ila inabidi uoshe haraka sana inauma balaa
Utawekwa wapi?inabidi kuitoa haraka usizidisheinauma sana , mimi ndo maana sipendagi kuwekwa saluni , kuna mdada aliniunguza kwenye ngozi .
Ntaangalia marudio😂😂😂😂Hhaha ana maneno leo anamuambia candy Yaan kubeba mimba tu unataka kunimiliki ,usijetaka nikafanya kitu kibaya kesho magazeti yakaandika mjazito auawa,sijui anyongwa 😂😂😂
najipaka mwenyewe , naji blow dry hapo kuliko kuunguzwa hadi sikio . Ukimuambia nioshe hataki . Mimi ndo natoa hela halafu yeye anajitia kuongea , bado haijakoleaUtawekwa wapi?inabidi kuitoa haraka usizidishe
najipaka mwenyewe , naji blow dry hapo kuliko kuunguzwa hadi sikio . Ukimuambia nioshe hataki . Mimi ndo natoa hela halafu yeye anajitia kuongea , bado haijakoleaUtawekwa wapi?inabidi kuitoa haraka usizidishe
najipaka mwenyewe , naji blow dry hapo kuliko kuunguzwa hadi sikio . Ukimuambia nioshe hataki . Mimi ndo natoa hela halafu yeye anajitia kuongea , bado haijakolea