Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,222
Mwenyekiti tudaiane
Ajajajajajajajajajajajajajaja Hapo tyuuu mi hooooiiii katibu uwiii!! ,😍😍😍😍
Santoo sana hapa sasa nimeridhika kabisaaaa lazima nikuite katibu Naachaje kwa mfano!!
Mwenyekiti tudaiane
Weee noumaaa kamanda umetisha!!
Usiache niita kwenye kikao nasikia mema ya nchi yameongezeka so ni muhimu niwe mmoja kati ya wajumbe wa kikaoAjajajajajajajajajajajajajaja Hapo tyuuu mi hooooiiii katibu uwiii!! ,😍😍😍😍
Santoo sana hapa sasa nimeridhika kabisaaaa lazima nikuite katibu Naachaje kwa mfano!!
Hakika.Wananchiiii hatuna mbambamba
Ni mwendo wa kutetema kama Mayele 💚💛💚💛🔥
Get ready kabisa katibu yani leo ni furuuuuuuuuUsiache niita kwenye kikao nasikia mema ya nchi yameongezeka so ni muhimu niwe mmoja kati ya wajumbe wa kikao
Uto hawana baraka na mvua labda mnyama ndio baraka zake hiziMvua ni baraka
Mabao yanakwenda kumiminika kama mvua
Leo Tangu asubuhi sijamuona Humu ukute ametingwa nasikia leo Dar mi baraka kama yooutreeee hata Carrasco putin saii kajifungia na Housegel wao wanakula tu mema ya nchi !! Sijajua kiduku mpapaso Tayukwa wakwapi saii☺️Kapachino uko wapi na mvua hizi?
Imenyeaha na milima ya huku kwetu hata kutoka hatuwezi tenesco wenyewe umeme wamekata tangu asubuhi kwa hio tupo tupo tu Bantu Ladykiduku mpapaso za Sunday ulipo hakuna mvua?
Leo mvua mungu katukumbuka bana AntonniaLeo Tangu asubuhi sijamuona Humu ukute ametingwa nasikia leo Dar mi baraka kama yooutreeee hata Carrasco putin saii kajifungia na Housegel wao wanakula tu mema ya nchi !! Sijajua kiduku mpapaso yukwapi saii![]()
Nami sina umeme hapa, ila baadaye nitajua cha kufanya. Mvua ndiyo kama hii raha tumejifungia ndani kimya.Imenyeaha na milima ya huku kwetu hata kutoka hatuwezi tenesco wenyewe umeme wamekata tangu asubuhi kwa hio tupo tupo tu Bantu Lady
Hongereni sana wapendwa!! Naona na Shyinyanga Itakua imenyesha na National Anthem saii anaota kwaraha zakee!!!Leo mvua mungu katukumbuka bana Antonnia
Sijui umeme unarudi saa ngapi na hii mvuaNami sina umeme hapa, ila baadaye nitajua cha kufanya. Mvua ndiyo kama hii raha tumejifungia ndani kimya.
Putin Akitoka hapo joints zote hazina nguvu jinsi alivyomalizwa nguvu☺️😂!!Carrasco putin ndiyo kusema uko juu ya kifua, cha House girl ama?
Maana tumeteseka joto balaaHongereni sana wapendwa!! Naona na Shyinyanga Itakua imenyesha na National Anthem saii anaota kwaraha zakee!!!
wamegoma aisee kurudisha ,Sijui umeme unarudi saa ngapi na hii mvua
Poleni san ndugu mjumbe walai leo mbadilishe hali ya hewa kidogoMaana tumeteseka joto balaa