Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,687
Ndiyo namtoa huko pangoni, alipojificha 😅😅😅😅Huyo kiumbe Hivi yupoo??? Kimya sana humu!
Ewaaa; maana na masika haya ya Dar;Tonniah hawezi ruhusu kaka mtu ateseke hivo asee!!! ☺️
Anapewa mambo matramuuuuu hadi kasahau selfika hapana chezea coca !Ndiyo namtoa huko pangoni, alipojificha 😅😅😅😅
Usijareee kabisa diaaaahhh!! Tonniah yuko hapa hakuna kinachoharibika!Ewaaa; maana na masika haya ya Dar;
Oga urelaxx mwili ukae sawa mjomba wangu mzuri!!Najua unaniwezea yani 😊😊 goja sasa nioge nikae mguu sawa, out yetu ianze
Ndrrriiioooo... nasubiria kwa hamu hapaa kusimuliwa hio ndoto mjomba!Si unajua ndoto zangu nakuota wewe tu 😊😊😊, badae nitakusimulia namna nilivyo kuota.. ndio kausingizi kameisha hapa
Mie huyooo asanteee sana aunt wangu 🤗🤗Oga urelaxx mwili ikae sawa mjomba wangu mzuri!!
Eendiwoooooooo wewe mjomba ☺️😄!!Mie hiyooo asanteee sana aunt wangu 🤗🤗
Goja mpira uishe twende mahala tulivu tumalizie weekend .. ili kesho tuanze fresh 😊😅Eendiwoooooooo wewe mjomba ☺️😄!!
Kabisa mjomba nipo kodoooo hapaaa 🙇🙇🙇🙇🙇😳Goja mpira uishe twende mahala tulivu tumalizie weekend .. ili kesho tuanze fresh 😊😅
Leo chochote usemacho nakupa aunt wangu 😊😊😊 tumeisha anzisha mvua ya magori🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸
Mechi inaisha na sie haoooo mahala na jezi zetu 😊😊Kabisa mjomba nipo kodoooo hapaaa 🙇🙇🙇🙇🙇😳
All the bests wananchiii!!
Umeona eeehhh!!! Tungeongeza lapili kabla ya halftime ingenouga sanaMechi inaisha na sie haoooo mahala na jezi zetu 😊😊
😅😅 goja tuvute subira wanaweza wakala hata tatu kipindi cha kwanzaUmeona eeehhh!!! Tungeongeza lapili kabla ya halftime ingenouga sana