National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,199
Mie muhuni tu muulize aunt wangu kipendi Antonnia 😅😅😅Mandhari kabisa yanaonesha kuwa wewe si msindikizaji wa maendeleo ila ni mdau wa maendeleo
Mie muhuni tu muulize aunt wangu kipendi Antonnia 😅😅😅Mandhari kabisa yanaonesha kuwa wewe si msindikizaji wa maendeleo ila ni mdau wa maendeleo
Hata ukiwa sio mchokozi utaudhiwa tuu....yeah sahihi sipendi mie maneno , sitakagi watu waniudhi . Maana sio mchokozi mie
Mbeya sisterNakuachaje Kwa mfano !
Ukitaka nikuache niwekee selfie yako.
Vinginevyo naendelea![]()
huko hvyo pia sina habari na watu , mpaka nikuzoee ndo utanijuaHuyu ni wewe hata kwenye maisha mengine huko uraiani?
hahahaha
duhhuko hvyo pia sina habari na watu , mpaka nikuzoee ndo utanijua
Nakuona braza wetu wa ukweli...umefuga na ka brash ka mkushtua shtua wifi yetu mgongoni.. 😆 😆
Kabisa mkuu mjomba National Anthem mtu mkubwa sana mjini Wee mcheki tu umepata konnekshen mbona 😊Yaani bora hata usingemuita, yaani huyo ndio kaniambia kama nna dogo yeyote anahangaika town nikutafute tu mzungu wa roho
Ahahaha 😄Nakuachaje Kwa mfano !
Ukitaka nikuache niwekee selfie yako.
Vinginevyo naendelea😂
yeah kweli hadi unipate sijui wapi utanichokozea wapi . Nishaachana na ushosti , umbea muda sanaHata ukiwa sio mchokozi utaudhiwa tuu....
Ndivyo maisha yalivyo
hellow?Hata ukiwa sio mchokozi utaudhiwa tuu....
Ndivyo maisha yalivyo
Hii haikufanyi uonewe na wanadunia?huko hvyo pia sina habari na watu , mpaka nikuzoee ndo utanijua
Ka blash muhimu sanaaaa 🤣🤣🤣🤣Nakuona braza wetu wa ukweli...umefuga na ka brash ka mkushtua shtua wifi yetu mgongoni.. 😆 😆
kulikoni Mkuu
National Anthem Aliapa hanyoi hadi mapacha wazaliwe sis he's expecting twins Mungu awe nao IJN!Nakuona braza wetu wa ukweli...umefuga na ka brash ka mkushtua shtua wifi yetu mgongoni.. 😆 😆
🫣🫣🫣🫣 Antonnia ananimanya vizuri muhuni wake 🤣🤣Yaani bora hata usingemuita, yaani huyo ndio kaniambia kama nna dogo yeyote anahangaika town nikutafute tu mzungu wa roho
Hujaona nipo chini ya seven upAhahaha 😄
Usinikazie hivyo bwana, ya Klopp na Ten Hag hatutakiwi kuyazingatia sana.
Kwanza inakuwaje hausahau hata baada ya wiki mbili kupita??
Selfie ningefurahi sana kama ingeanza yako kisha nifuatie, si unajua Ladies first?
nilikuwa naonewa sana zamani . Nikajipiza mtu hata nionea tena , too bad nimekuwa affected ukinikosea , naachana na wewe mazima .Hii haikufanyi uonewe na wanadunia?