Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 14,000
- 27,974
Hujaona nipo chini ya seven up
Saba ipo juu😂
Utaweka picha au niendelee?
Nyie ni makubwa jinga ya mwezi wote huu.
Nimekuona na "saba juu" yako, 😂
Ndo nini sasa kutukazia vile afu mkaenda kuwapa wanaoshika nafasi ya mkiani?
Weka yako basi niweke pia, ni juzi tu tumetoka kaudhimisha siku ya mwanamke duniani, nimeamua kukupa kipaumbele Saint Anne 😊
