National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,176
- 56,199
Ooooh Yes.... apatae mke au mume hupata kibali kwa Bwana Mungu.. 😊😊😊Ndoa na uheshimiwe nawatru wotree mjomba 😊!
Ooooh Yes.... apatae mke au mume hupata kibali kwa Bwana Mungu.. 😊😊😊Ndoa na uheshimiwe nawatru wotree mjomba 😊!
Kabisa mjomba amepata kitu chemaa!Ooooh Yes.... apatae mke au mume hupata kibali kwa Bwana Mungu.. 😊😊😊
Mi sijaona 😂😂😂Asie ona neno Husband mkorofi 🤣🤣🤣
Angalia sasa nimedondosha na simu yenyewe kwa kujikwaa kumkimbilia mrembo KalpanaTayukwa Mzee wa kupambania mnapitwaaa
Kabisa watatu tosha mie mwenyewe 2min x 3 nipo hoiHalafu unapiga kimoja chali
Wakupunguzie aisee
Watatu wanafaa
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
yeah ,mie nyuzi nyingine sitembelei maana watu wanajua kucriticize.Hii furaha ninayoiona humu, mbona kama sio ya watu warioboreka?
Inaonekana ni thread ya watu walioamua kufurahi na kuwa huru kuzungumza mada yoyote bila kujali wengine wanasema nini, kitu ambacho si kibaya.....
Mlidamshiii ni fayaa 🔥🔥🔥🔥
Aririririiirih 😍😍😍 Mlipendezajeee mjomba hizo suti zako tuu zaukwee kinoumaaa!!!
Una moyo mdogo...yeah ,mie nyuzi nyingine sitembelei maana watu wanajua kucriticize.
😅😅😅 subiri pacha wetu watoke hiyo april wakutane na zawadi ya aunt yaoooAririririiirih 😍😍😍 Mlipendezajeee mjomba hizo suti zako tuu zaukwee kinoumaaa!!!
Mbarikiwe sana katika ndoa yenu mjomba hakika umepata kitu chemaa!!
Nasubiria kuleta zawadiii April mueee🔥🔥🔥😍😍😍
😅😅😅 asante sana sister .. hiyo ni mala moja tu kwa maisha maana wengine hatuju kuachana wala kuachana hiyo hadi kifo kitutenganisheMlidamshiii ni fayaa 🔥🔥🔥🔥
Usijareee mjomba aunt yao nimejaa telee hapaaa nawasubiria kwahamu sana!😅😅😅 subiri pacha wetu watoke hiyo april wakutane na zawadi ya aunt yaooo
Timizeni wosia wa JPMHuu ukanda shy, mwanza, musoma, geita mvua zipo kahali ka hewa kazurii
Hongera sana sister.. ndo ni njema sana, na ni baraka sana. Naamini katika ndoa , naamini una 10 .. Mungu ajalie afya imara ya ndoa hadi unyakuoa utapotokea 😅😅😅 hakuna kuachana wala kutengana ndio kauli mbiuKabisa mimi naenda mwaka wa 10 huu kwa ndoa...unaamini?.
Umeisha fyatua wangapi tayari 😅😅😅
Sijaona mjombaasante sana sister .. hiyo ni mala moja tu kwa maisha maana wengine hatuju kuachana wala kuachana hiyo hadi kifo kitutenganishe
Aaaah sanaa 😆Hongera sana sister.. ndo ni njema sana, na ni baraka sana. Naamini katika ndoa , naamini una 10 .. Mungu ajalie afya imara ya ndoa hadi unyakuoa utapotokea 😅😅😅 hakuna kuachana wala kutengana ndio kauli mbiu
Mie na wewe tena, furaha yako ndio yangu, watoto wangu ndio wako.. sie DNA mojaaa damu moyaaaUsijareee mjomba aunt yao nimejaa telee hapaaa nawasubiria kwahamu sana!
NimemissHuu ukanda shy, mwanza, musoma, geita mvua zipo kahali ka hewa kazurii