Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,977
- 177,200
Ndoivo mjomba umeona eeehh!! Nakukubali sana mjomba wangu!Mie na wewe tena, furaha yako ndio yangu, watoto wangu ndio wako.. sie DNA mojaaa damu moyaaa
Ndoivo mjomba umeona eeehh!! Nakukubali sana mjomba wangu!Mie na wewe tena, furaha yako ndio yangu, watoto wangu ndio wako.. sie DNA mojaaa damu moyaaa
Wakati huoUsiku baridi nayo inakanyaga balaa
Uko kama nyanda za juu kuanzia iringa mvua ya kutosha sasa njoo jiji la matapeli ndio utakoma

yeah sahihi sipendi mie maneno , sitakagi watu waniudhi . Maana sio mchokozi mieUna moyo mdogo...
Umeniwahi tu, nilitaka nikuulize hiki kitu maana sijawahi kabisa kukuona huko kwingine.yeah ,mie nyuzi nyingine sitembelei maana watu wanajua kucriticize.
Na hamtakiyeah humu watu wamezoeana balaa .. Muda mwingi tunaboreka , tunahitaji kupata faraja .
😄Sijui
Nakuachaje Kwa mfano !Wewe mLiverpool huniachi nipumue? 😂😂😂
Hongera naona uchebeHii hapo aunt 😅😅😅View attachment 2550886
tuwafariji vipi hebu tueleze tuanze
Uuwawe tu kama ndo ivo 😂😂😂alisema kapeaceMwee mtu mwenyewe mie wa dakika 2 chali nitawezaje kukusahulisha ex wako. Hapo ni kujidanganya tuu
Boss in the office
sitaki kujichosha na wanadamu , mie napitaga mara moja uzi ukitrend sana labda ndo nachangiaUmeniwahi tu, nilitaka nikuulize hiki kitu maana sijawahi kabisa kukuona huko kwingine.
huko sitembei , watu wana maudhi jamani . Sitaki kubishana na avatar bureUmeniwahi tu, nilitaka nikuulize hiki kitu maana sijawahi kabisa kukuona huko kwingine.
😅😅😅 tapeli tu la dalishalama hiloBoss in the office
huko sitembei , watu wana maudhi jamani . Sitaki kubishana na avatar bure
Mandhari kabisa yanaonesha kuwa wewe si msindikizaji wa maendeleo ila ni mdau wa maendeleo😅😅😅 tapeli tu la dalishalama hilo
Tatizo languUmeisha fyatua wangapi tayari![]()