DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,311
- 109,517
wee sura umeionaje wkt iko blurred[emoji4]Duuh basi ninyi wa leo mko tofauti huyo mama j wa leo hana hizo nyama nyama halafu anaonekana sura ya baba
wee sura umeionaje wkt iko blurred[emoji4]Duuh basi ninyi wa leo mko tofauti huyo mama j wa leo hana hizo nyama nyama halafu anaonekana sura ya baba
Aaah wapi, uwez kuona[emoji4]Ukimzoom anaonekana kiaina
hehehe unayaweza , ukijibu tu ovyo mara shwah kofi . AiseeUnahakimisha umemtwanga haswaa
Manzi za livakukuUnashindwa hata kumtandika akishalala?
Wahi kanisani Mrs Pokerhehehe unayaweza , ukijibu tu ovyo mara shwah kofi . Aisee
Kofi?hehehe unayaweza , ukijibu tu ovyo mara shwah kofi . Aisee
😅😅😅 hakika unahitaji maombiKwema chief!
nipo udigoni huku maeneo ya Tanga kwa Sasa!
(niombee nisije nikapoteza mtaji wangu wote wa biashara)
Usiku watu wamekesha na taarabu zaoUsiku watu
Mmetiririka hadi raha
Antonnia amka rafiki
Kumekucha
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
hahaha sijaenda leo , nina uchovu balaaWahi kanisani Mrs Poker
Huyo mpenda taarab
Asikuchoshe
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
hahaha unaongea tu Anne , sina mkono wa kupiga kabisa na siwezi ugomviKofi?
Na we unamzabua tu,kwani sh ngapi?
Umepigwa pole achika njoo kwangu nakupiga kitandani tuSo sad , hivi kupigwa kwenye ndoa ndo kawaida duh ?