Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndiyo.

Wana raundi tatu
Hii ya kwanza,
Bado mbili.

Halafu ya nne wanaingia wote,wanaimba nyimbo 3 pamoja,Kila wimbo kutoka kwa kila mmoja wao.
Yaani wanafanya collabo.
Hivi bi hawa mbona simuoni yule mweusii unamkumbuka???
 
Ndiyo.

Wana raundi tatu
Hii ya kwanza,
Bado mbili.

Halafu ya nne wanaingia wote,wanaimba nyimbo 3 pamoja,Kila wimbo kutoka kwa kila mmoja wao.
Yaani wanafanya collabo.
Huyu alipotelea wapi
 
Attachments

  • 3DB083FE-7DA9-4928-9775-396332A81686.png
    3DB083FE-7DA9-4928-9775-396332A81686.png
    648.9 KB · Views: 5
Hiyo collabo na naisubir
Huwa wanajishaua.

Unakuta anajidai haujui wimbo wa mwenzie..
Au anauliza hapa naimbaje..
Yaani Hawa wamama bana,wao kwa wao nadhani Kuna kawivu.

Nampendaga Sabah ananyoosha hatari
Huwa anapanda na simu,anasoma.
Wengine na karatasi..
Mwenye wimbo ananyoosha bila madesa.

Last time wa Leyla waaliimba ule wa maneno ya mkosaji
Kila mtu verse mojamoja
Aisee ulibamba.
Ngoma Kali sana hii,huwa naipenda.
 
Sabaha Yuko vizuri mm natamani aimbe depetupu au uwazi nazipenda sana
 
Back
Top Bottom