Marahabaa Big Boss mwenyewe 😅😅😅😅 salama kabisa, sijui wewe na familia.Shikamoo madam mbantu
Habari za weekend boss
😅😅😅 tusipombana hatari Mjep, PhD.Profesa katika harakati zake
Pambana prof.
Sisi tuko nzumbwilo nzumbwilo....Marahabaa Big Boss mwenyewe 😅😅😅😅 salama kabisa, sijui wewe na familia.
Kilugha gani hiko Boss 😄😄😄😄😄Sisi tuko nzumbwilo nzumbwilo....
mambo , shikamoo chief . Nipo poa vipi weweHili ni chaka gani tena madam
Bila shaka uko poa
Niko poa sana madammambo , shikamoo chief . Nipo poa vipi wewe
Embu tuonyeshe tu mfano tuona kama unajua mjumbeNapendaje kucheza taarabu miyeee uwiii!!
Umeona maajabu haya, mwenye Kabila sikijui. Maisha ya kuishi town, tunasahau asili yetu ni shida sana.Hiki ni Kikurya cha ndani ndaniiiiiiiii.....😁😁
Muulize Tinsley
Nakusalimu za jumapiliUmeona maajabu haya, mwenye Kabila sikijui. Maisha ya kuishi town, tunasahau asili yetu ni shida sana.
Itabidi nikupeleke Nyachabakenye huko siku moja ukajifunze lugha usije ukatuhaibisha wallah😜Umeona maajabu haya, mwenye Kabila sikijui. Maisha ya kuishi town, tunasahau asili yetu ni shida sana.
Mtatulipiatwende double date , next weekend
HeheheMtatulipia
Salama kabisa best za huko ulipo. Weekend inasemaje.Nakusalimu za jumapili
UshindweHehehe
Labda twende kwa mama ntilie sahani ya wali buku 2 🤣.