Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20230312_015618.jpg
 
View attachment 2546583
Huyu mama muimba taarabu anazeeka na uzuri wake hata akiwa hajapaka makeup mzuri kweli
Mama mzuri huyu.
Niliona interview yake anasema yeye si mzenji.
Ni m bara wa Moro,baba Ake myemen


Mm nampenda,hana hata mashauzi na mbwembwe nyingi
Sema huwaga anakuwa siriazi sana,hacheki akiwa anaimba.

Ila kwa sauti kawafunika wote huyu mama,
Sauti yake haikwami kabisa..round zote mama anazungusha kwa sauti yake Ile Ile.


Kopa mbwembwe nyingi
Ikifika round ya tatu chalii
Sauti inakauka
 
Back
Top Bottom