Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Naskia umeniacha!🥺
Naskia umeniacha!🥺
Ama we ndo una mpango wa kuniacha?Naskia umeniacha!![]()
Huyu ndyo shangazi sasa 😋😋😋 enzi za ujana anaonekana alikuwa pisi kali sana
Mama mzuri huyu.
Niliona interview yake anasema yeye si mzenji.
Ni m bara wa Moro,baba Ake myemen
Mm nampenda,hana hata mashauzi na mbwembwe nyingi
Sema huwaga anakuwa siriazi sana,hacheki akiwa anaimba.
Ila kwa sauti kawafunika wote huyu mama,
Sauti yake haikwami kabisa..round zote mama anazungusha kwa sauti yake Ile Ile.
Kopa mbwembwe nyingi
Ikifika round ya tatu chalii
Sauti inakauka
Ana sura ya kaziYes mpole mtaratibu yupo serious sipati picha alivyokuwa binti,mi nilikuwa nahisi tu mwarabu halaf mzenji
Siyo kawaidaSo sad , hivi kupigwa kwenye ndoa ndo kawaida duh ?
Siyo shida zetu😂
we Anne , wanaume wana nguvu hao . Utaweza wapi kuwarudishia ngumiSiyo kawaida
Ukipigwa usimwachie ngumi
Na wewe kunja ngumi tandika
Ana sura ya kazi
Awe anatabasamu kiasi.
Juzi kati wamemfanyia interview ndio akasema.
Watu wa FB sasa,wanasema yote haya kayaleta afande wa connection 🤣🤣🤣eti sasahivi kila mtu anakataa kuwa si mzenji.
Niliona zile events 2 mwanza na Dar, fundi sana huyu Mama.
Kwa sauti sijaona anayemfikia, basi tu wengine umaarufu unawabeba.
Mke wa mzee Yusuf huwaga nampends pia anavyotabasamu
Ila sura yake mmh, ngozi yake sijui ipoje
Ina mabonde.
Kopa mbwembwe nyingi, anawahi kukata pumzi.
MstaarabuAhhaha afande kafanya watu wanakana au sio hadija kopa anapenda kiki huyu mama itakuwa pia kashika dini sana nahisi
Mstaarabu
Mama ametulia
Kopa yuko boze na vibwagizo vya mtoto wake😂😂😂
Kuna comment huyu mama alivyosema baba yake myemenEee 😂😂
Unashindwa hata kumtandika akishalala?we Anne , wanaume wana nguvu hao . Utaweza wapi kuwarudishia ngumi
Kuna comment huyu mama alivyosema baba yake myemen
Mtu kaandika myemen wa wapi anaitwa mchachu🤣🤣🤣🤣
.
Kwakweli hawa wawili walichomzidi huyu mama ni umaarufu tu
Ila sauti na muonekano amewapita mbali sana.
😂😂Kumbe tupo wengi mapopo wa Raha za pwaniKumbe sisi sio mishangazi mpaka t ufike age hii
Nishaona comments za Fb 😂😂😂 mwichacho na yemen wapi na wapiUnashindwa hata kumtandika akishalala?
Nilisoma Facebook hata sikumbuki ni page ganiJamani si uniwekee link nikachekee
Ina maana anaitwa Sabah Salum mchachu![]()
Mi nishaingia kitandani bado haijaiisha nilikuwa nasubiri kosa moja nadhan nitaangalia kesho marudio😂😂Kumbe tupo wengi mapopo wa Raha za pwani
Hehehehe asikukute huko 🤣🤣Unashindwa hata kumtandika akishalala?