Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 6,515
- 18,997
Leo wewe ni PSG au bayern?aliniambia ana namba mpya Sina hiyo ..
Leo wewe ni PSG au bayern?aliniambia ana namba mpya Sina hiyo ..
hahahahaAisee wewe sio unafaa tu kuwekwa ndani bali wewe ni wa kufichwa ndani haswa.
Matumizi yako si huwa matumizi sahihi tu?
rafikialiniambia ana namba mpya Sina hiyo ..
PSG vipi wewe ? Na utaangalia match wapiLeo wewe ni PSG au bayern?
habari za leo Mkuurafiki
UmeliwaCarrasco putin mara moja sana naomba uje ujibu hili shitaka maana nlikupatia barua ya hela umpelekee Tinsley kipenzi changu iweje mpaka leo hajaipata?
poa kbs, nakutakia happy women's dayhabari za leo Mkuu
Nani ana odds nyingiLeo wewe ni PSG au bayern?
thank you ubarikiwe rafiki ..poa kbs, nakutakia happy women's day
PSG ana odds za 4 ukiweka 10k unakula 40k na ac Milan ana odds za 4 pia. Ukichanganya zote unaeza kula 160kNani ana odds nyingi
Nimfuate nina dasi hapa
Haina kazi
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
🤔 Mbona mi hujawahi niambia nibarikiwe?thank you ubarikiwe rafiki ..
Hahaha..............Mjukuu hayo mambo ilikuwa miaka 50 iliyopita, wakati huo nilikuwa Kijana tu 🙈Babu kumbe unapamba wanawake huko na husemi tukusaidie lol uko vizure 😂🤔😛😛😛😂!
Kweli ng'ombe hazeeki maini 😛😛
Nataka bayern washinde na Yanga wafungwe hivo game sijajua nacheki wapi nipe location 😚😘😘PSG vipi wewe ? Na utaangalia match wapi
hapana bhana navyompenda Mbappe asifungwe , location castle lounge hapo Kibo complexNataka bayern washinde na Yanga wafungwe hivo game sijajua nacheki wapi nipe location
You sure Babe's? Nijiandae mapema kabisa nije.hapana bhana navyompenda Mbappe asifungwe , location castle lounge hapo Kibo complex
Haina noma babu hata hivo enjoyy babu maisha ndio hayahayaaa!!Hahaha..............Mjukuu hayo mambo ilikuwa miaka 50 iliyopita, wakati huo nilikuwa Kijana tu 🙈
Njoo mapema tuone Yanga wanavyocheza leo ..You sure Babe's? Nijiandae mapema kabisa nije.
Ya Yanga sitaweza kuiwahi ila ya PSG worry out am in! 😍🤗 Nije tulewe alafu nizame chumvini nilambe chumvi yote 😘Njoo mapema tuone Yanga wanavyocheza leo ..
Unatka nywele za aina gani kipenzSawa kipenzi!