Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,641
- 47,662
Nitaanza kampeni ya kukumbushia ili swala. Naungana na mama 😅😅😅Najiona Bado Bado japo anaongeaga ukweli😂
Nitaanza kampeni ya kukumbushia ili swala. Naungana na mama 😅😅😅Najiona Bado Bado japo anaongeaga ukweli😂
Sasa hapo nani bahiri?Kweli kabisa 😀😀ila nimemzidi kitu kimoja tu ubahili 😂😂😂
Baada kuona hii picha. Nakubaliana na Mama. Huu mwaka uolewe 😅Happy women's day😍View attachment 2541592
Sasa hapo kaka unataka kumkumbusha tena badala ya kumwambia aje wapi ili umkutanishe na dogo wako. Maana wewe kwa huyu tena mmeachana levelNitaanza kampeni ya kukumbushia ili swala. Naungana na mama 😅😅😅
Mimi aisee hatuelewani kwenye mambo ya Hela kutumia ela yangu bila mipango 😀ni hakuna kuelewanaSasa hapo nani bahiri?
Aisee wewe sio unafaa tu kuwekwa ndani bali wewe ni wa kufichwa ndani haswa.Mimi aisee hatuelewani kwenye mambo ya Hela kutumia ela yangu bila mipango 😀ni hakuna kuelewana
Yaani weweBro Kuna mtoto wa mtu nataka nisikilizie kwanza mwakani hiv😀Nataka kuwa serious na maisha😂View attachment 2541628
Maybe awe graduater wa jana ambae Unahisi hana mipangoBro Kuna mtoto wa mtu nataka nisikilizie kwanza mwakani hiv😀Nataka kuwa serious na maisha😂View attachment 2541628
HahahahaUnapita hivi,,
Hila umri bhana,tukiwa na 23yrs tunasema tupo na 32 yrs
Ngoja ugonge 32 yrs
Ngoja nifikishe 25 kwanzaView attachment 2541137
Mwanaume wa kuoa hahitajiki Cv kumuelezea😁😁Lete cv yake niipitie 😀😀
Mimi ndio inabidi nipitie CV zenu wote wawili. Haya leta yako 😅😅😅Lete cv yake niipitie 😀😀
Atakupandia hewaniHahahaha
Ningeweka Status hii,
sema nina dada yangu ...........
Mfupi kama ujuavyo watu wafupiMimi ndio inabidi nipitie CV zenu wote wawili. Haya leta yako 😅😅😅
Hapo sasa🤣🤣Kaka unatenda hakiMimi ndio inabidi nipitie CV zenu wote wawili. Haya leta yako 😅😅😅
Inabidi iwe hivyo 😅Hapo sasa🤣🤣Kaka unatenda haki
Utaitwa kwenye kikao Cha familiaHahahaha
Ningeweka Status hii,
sema nina dada yangu ...........
Mashallah