Hee hadii wewe walikuzuia duh makubwa haya sikuhizi pamekua pa ajabu sana yaniMm walinipa ya siku Tatu nisicomment selfika sijui nilikosea nn aisee ila fresh tu 😀
Yaani nilishangaa mbona sijawah kupishana kauli na mtu kufikia hatua iyo au huenda kunamengine siyajuiHee hadii wewe walizuia duh makubwa haya sikuhizi pamekua pa ajabu sana yani
Hakuna mzee hapoBabu kumbe unapamba wanawake huko na husemi tukusaidie lol uko vizure!
Kweli ng'ombe hazeeki maini![]()
Ndio maana hutu bless tukuone tangu ulivyotoka lookup 😂😂walinipa ban ya selfika week nzima aisee sasa nimekuwa mzito humu .
🤔😳 Carrasco putin mara moja sana naomba uje ujibu hili shitaka maana nlikupatia barua ya hela umpelekee Tinsley kipenzi changu iweje mpaka leo hajaipata?sijapata Poker
Nitakuwekea kipenz ya yebo au?sophy27 Bantu Lady minywele yangu imefumukajee hapa naombeni msuko mzuri wa kiticha usio na mbwembwe nyingii wapendwa! Japo hizi zimekaa kinonaa almost 3 months!!
Nywele Zangu sijaweka dawa!
Yaani nilishangaa mbona sijawah kupishana kauli na mtu kufikia hatua iyo au huenda kunamengine siyajui
samahani mkuu nimeacha kuselfika muda sasaNdio maana hutu bless tukuone tangu ulivyotoka lookup
Ndio nawaza sijui hata nizifanyeje yani ningekua nimeweka dawa ningeretouch nikabana for sometime then Ndio nisuke nina manywele mabayaaaa afu sijaweka dawa sasa!!Nitakuwekea kipenz ya yebo au?
Sawa kipenzi!
Vp kwani sikuiz hamuwasiliani tena Whatsapp?hehehehe mtafute akupe maelezo vizur
aliniambia ana namba mpya Sina hiyo ..Vp kwani sikuiz hamuwasiliani tena Whatsapp?