Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapana madam mi hata sipendi ubuyu wala ni kweli kuna pipo nyokk sana humu binafsi hadi walinisababishia ile ban kisa ujinga ujinga usio hata na maana. Humu kuna kufatiliana sana
Polesana ni vema kujiwekea privacy zako vizuri wanawake hatupendani na tunapenda mtu aanguke ndo furaha yetu wachache wenye upendo ulipoteleza usirudie ujifunzie hapo 😍
 
Habari za siku tele Mkuu?

Ungenijulisha kama uko mitaa yangu Lazima ningekupa ofa ya kleti 1 la Balimi beer
Mitaa yako

Hakuna safari ndogo

Ni mibia mikubwa na mipombe migumu

Nili enjoy samaki, maziwa, muchele, ugali na mbogamboga kama zote

Next time nikija nitakuletea soya refined oil kutoka Lusaka

Warembo wa huko ni midada mikubwa mikubwa

Imeenda hewani hatari

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Hahaha.........karibu tena siku nyingine Mkuu.

Ndiyo maana Wanaume wa huku tunakula sana ili kujaribu kuendana na kasi ya Warembo wetu, kama huna nguvu za kutosha watakutoa knock out 🤪
 
Hahaha.........karibu tena siku nyingine Mkuu.

Ndiyo maana Wanaume wa huku tunakula sana ili kujaribu kuendana na kasi ya Warembo wetu, kama huna nguvu za kutosha watakutoa knock out 🤪
Babu kumbe unapamba wanawake huko na husemi tukusaidie lol uko vizure 😂🤔😛😛😛😂!

Kweli ng'ombe hazeeki maini 😛😛
 
Back
Top Bottom