Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Okay kaka
Niko poa sana tu. Naona umepotea kimtindo 😎
Ili mbona kama yowe?[emoji849][emoji849]View attachment 2541130
Nashangaa hapa[emoji57]Ili mbona kama yowe?
Kuna meme zingine zinathrow heavy punch za uso 😅Nashangaa hapa[emoji57]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]umeonaKuna meme zingine zinathrow heavy punch za uso [emoji28]
Sema funika tu. Assume hujaona au haikuhusu 😅😅[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]umeona
Unapita hivi[emoji125],,Sema funika tu. Assume hujaona au haikuhusu [emoji28][emoji28]
Presha inapanda, presha inashuka. Ukijaribu kucompare umri na achievements, unaweza ukapiga ukunga peke yako barabarani 😅😅😅Unapita hivi[emoji125],,
Hila umri bhana,tukiwa na 23yrs tunasema tupo na 32 yrs[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja ugonge 32 yrs[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ngoja nifikishe 25 kwanzaView attachment 2541137
Sema tu tunajua kujofariji[emoji16][emoji16][emoji16],Presha inapanda, presha inashuka. Ukijaribu kucompare umri na achievements, unaweza ukapiga ukunga peke yako barabarani [emoji28][emoji28][emoji28]
Haya maisha hata uwe na Mali kiasi gani, kuna point utafika utahitaji life partner, pia utahitaji family. Maana sio muda wote tunahitaji kushauriwa, sometime unahitaji mtu wa kukuhug, then akwambie everything will be okay. Mtu ambae haendi kokote, muda wake ni wako.Sema tu tunajua kujofariji[emoji16][emoji16][emoji16],
Nina aunt yupo na 32yrs ana kazi nzuri nyumba nzuri na mtoto pia anae, kipindi yupo na 28 alisema hataki kusikia kuhusu ndoa[emoji16][emoji16]
Now ni muumin wa kawe kusaka ndoa,
Hasira tu sijui shida nini[emoji23][emoji23][emoji23]
Turudiane banaUmeshakuwa Li mshangazi
Sikuwezi Tena[emoji1787]
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Tatizo lako unafichwa sana dogoNiko poa sana tu. Naona umepotea kimtindo [emoji41]
😅😅😅😅 Sio kweli. Ww ndio umekuwa hadimu
Mungu atusaidie 😀😀kwakweli tukiwa mabint BadoSema tu tunajua kujofariji[emoji16][emoji16][emoji16],
Nina aunt yupo na 32yrs ana kazi nzuri nyumba nzuri na mtoto pia anae, kipindi yupo na 28 alisema hataki kusikia kuhusu ndoa[emoji16][emoji16]
Now ni muumin wa kawe kusaka ndoa,
Hasira tu sijui shida nini[emoji23][emoji23][emoji23]