Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,222
Mkuu dafram power utafanya siku nyingine tusiblesiwe buana edit ondoa hio reference ya picha jamanee!!
Eagerly waiting mkuu🙇🙇😳
Kapachino kabaki kaduwaa tu kama zuzu tu hapaBeautiful Onyinye yani the African biuriiiiiiiii😍😍😍😘! Ako mtramuuuu ni ajee lol!!
Uko poaWige ,I'm glad you're back


Nisha futa mbona?dafram power fanya alivyokwambia mrembo Antonnia ... futa please dafram
Hope amesikiadafram power fanya alivyokwambia mrembo Antonnia ... futa please dafram
😊😊 Ngoja tukumwagie maji ya baridi uzinduke kwanzaaa 😂😂!Kapachino kabaki kaduwaa tu kama zuzu tu hapa
I hope so!Hope amesikia
Tunakupenda pia Poor Brain 🤝
Wabheja sana kumbe sio mkorifi 😂😂😂😊!!Nisha futa mbona?
Naona haitaki kufutikaTayari nafuta 😂😂😂😂
Ushakua expert hadi midoli kuning'inia kwa keki alooooo uko vizure sana!😋😋😋😋
Nishairudia a sana Wige !!
mbele ya warembo ukorofi unatoka wapi?😅Wabheja sana kumbe sio mkorifi 😂😂😂😊!!
🤣 Haya Fanya wepesi utubles huo msuli turare vizuri basii 😊😁!mbele ya warembo ukorofi unatoka wapi?😅
😅😅😅msuli wenyewe umechanika kwambele kidogo nihatari kuweka humu🤣 Haya Fanya wepesi utubles huo msuli turare vizuri basii 😊😁!
Weka hevohevooo watu hawajareee buana!! Kwanza wako bize huko haya tupia mwaego😊😅😅😅msuli wenyewe umechanika kwambele kidogo nihatari kuweka humu