Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Wajumbe sioMjumbe shikamoo Antonnia
Shauri yako[emoji1787]
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Wajumbe sioMjumbe shikamoo Antonnia
Au bhasiWhy nakosa kila siku [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26] kuona Mungu alivyofinyanga kiumbe wake siku ya weekend jamani. Irudiweeeeeeee
Bora kidogo deni nimelimaliza 😉😉Huna baya kabisa!
Umeusuuza moyo wa kapachino
Imagine unashinda gemuBora kidogo deni nimelimaliza 😉😉
nipo poa vipi wewe ?Uko poa[emoji1787]
Sasa sijui
Ndio umesemaje[emoji848]
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
So usingizi mororo kabisa 😘😘😘Imagine unashinda gemu
Afu unasindikizwa na selfie za maana!
Siku inakuwa imeisha vizuri sana
Kabisa kipenzi saii hudaiwi Selfii hudaiwi chama umeolewa na hutoki na mume wa mtu💃!!Bora kidogo deni nimelimaliza 😉😉
Umeona eeehhh!Imagine unashinda gemu
Afu unasindikizwa na selfie za maana!
Siku inakuwa imeisha vizuri sana
Eti mdoli kuning'inia[emoji1787]Ushakua expert hadi midoli kuning'inia kwa keki alooooo uko vizure sana![emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Keki Nzuriiiii
Umeona!Maisha buruuddddddaaaaaniii kabisaaa!
Kwa mwaka[emoji4]
Yule dogoTulimiss sana hizi fujo zako Humu Wige [emoji1787][emoji1787][emoji1787]!! Vipi ushamuona Babu yako Grahams ??[emoji23]
Kitambo sana sijamuona eti[emoji4]!