Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kilawiki anaamka na mada mpya😀jana tulikuwa tunqzungumzia ndoa kuvunjika sana
Ngoja nimnukuu ya Jana anasema

"Waolewaji wa sikuhiz nawashangaa sana anataka kilakitu mwanaume afanye mwanaume amjali ampemde Sana
Akusikilize wew tu😀
Akirudi kazin kilasiku aje na zawadi
Awape Hela wazazi wake
Amnunulie nguozote navocha
Awajali nduguzake
Asimamie ujenz wa nyumbayenu 😀
Utampata wapi wa hivo Kwan yeye Hana kwao kwenye ishirin mnayotaka mtapata mawili tu au matatu mkikosa hayo mengine ndo amkubali😂😂😂
Aisee
Bi Mkubwa ameongea ukweli, na alikuwa anajaribu kusend msg kwako. I hope ulimuelewa 😅😅😅
 
Back
Top Bottom