Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Hizi za nyama hizi😋😋Jioni hii kwa juice, chai ya maziwa...View attachment 2536126
Kabisa Tayukwa karibuHizi za nyama hizi😋😋
😋😋😋😋😋😋 Njaa imeanza ghafla lol!!Jioni hii kwa juice, chai ya maziwa...View attachment 2536126
Thanks Mjukuu kujali, next time unisaidie nipate mkongojo wa kutembelea kwa maana napata shida sana kutembea tangu ule wa awali kuvunjika 🤪Tembea aste asteeee kwaraha zakoo babuu Bibi na wajukuu bado tunakujareee sanaa😛🤗!
Pole dear na karibu. Za nyama Yes😋😋😋😋😋😋 Njaa imeanza ghafla lol!!
Zinaoneka tramuu kama mpishiii!😋😋😋😋
Ndanii umeweka nyama??
Ooh yeees umeifanya hii jioni kuwa ya kipekee mnooAntonnia was here guys enjoyur evening and takes care of yourselves wapendwaaa ✌️😘!
Bantu Lady kiduku mpapaso Tayukwa leadermoe
Mrembo wetu 😍😍😍😍😍 ngozi nyororo, haya mambo ndiyo tuliyamiss 💃💃💃💃Antonnia was here guys enjoyur evening and takes care of yourselves wapendwaaa ✌️😘!
Bantu Lady kiduku mpapaso Tayukwa leadermoe
Bora ningekuambia nipo mazingira gani maana kilichonikuta hatari sanaAntonnia was here guys enjoyur evening and takes care of yourselves wapendwaaa ✌️😘!
Bantu Lady kiduku mpapaso Tayukwa leadermoe
Halafu wanatokea MAZEMBWELELA yanaropoka Jf ina wadada wabaya hivi unawajua wadada wa Jf! 😘😘Mrembo wetu 😍😍😍😍😍 ngozo nyororo, haya mambo ndiyo tuliyamiss 💃💃💃💃
Bantu Lady na Antonnia ni km mchele wa basmat tu kwenye mfuko mmoja huwezi watofautishaMrembo wetu 😍😍😍😍😍 ngozi nyororo, haya mambo ndiyo tuliyamiss 💃💃💃💃
Hii ngozi ilivyo laini hata ukimpiga mtu kofi ni kama unamchum tu kwa ulaini wake unaweza dhani shavu la mtoto.Antonnia was here guys enjoyur evening and takes care of yourselves wapendwaaa ✌️😘!
Bantu Lady kiduku mpapaso Tayukwa leadermoe
View attachment 2536135
Babu nasubiri uvuneView attachment 2535935
Mwaka huu lazima tupandishe bei ya Mafuta ya Kupikia hadi ifike 20,000/Lt ,manake Kulima tumeachiwa sisi tu Wazee
Hello Friday![]()

Jioni hii kwa juice, chai ya maziwa...View attachment 2536126

