Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,506
- 8,716
Nakusubiria hapa The DanceHahaha asante mkuu
Nakusubiria hapa The DanceHahaha asante mkuu
Nakuja hapoNakusubiria hapa The Dance
Usihofu; Niko makini sana kuanzia dakika hii; kuangalia miguu ya kina dada inayoingia hapaNakuja hapo
Nimevaa kama Asake
Za usiku huu Kapachino uko poa???Bantu Lady nakusalimu dada angu;
😄😄😄😄😄😄 pole ndugu yake, ninayo basi. Kwanza nimekumbuka hazifutiki 🤣🤣🤣🤣🤣Mimi mpaka naumwa kwa kukuhamu tu dada angu!
Mbaliki nduguyo atulie
Mama shughuli wewe huwezi ishiwa! haha si utafuta post nzima hata usihofu😄😄😄😄😄😄 pole ndugu yake, ninayo basi. Kwanza nimekumbuka hazifutiki 🤣🤣🤣🤣🤣
Mtu akiquote tu kosa inabaki kama ilivyo. Ile nayoituma inafutika palepale. Shida mtu akireply nayo kosa. Kila siku unaiona hivii 😨😨😨Mama shughuli wewe huwezi ishiwa! haha si utafuta post nzima hata usihofu
Haha si umeona wote wako hoi!Mtu akiquote tu kosa inabaki kama ilivyo. Ile nayoituma inafutika palepale. Shida mtu akireply nayo kosa. Kila siku unaiona hivii 😨😨😨
Kwahiyo naweza pita naked kabisa, na hakuna mtu ataona eeh 😄😄😄😄Haha si umeona wote wako hoi!
Na walivocjoshana uko sijui watakua na ngumu hata ya ku reply
Ewaaa watanzania wanalala mapema Sana na wanachelewa amka ndo tulivo Yani;Kwahiyo naweza pita naked kabisa, na hakuna mtu ataona eeh 😄😄😄😄
Best acha kunijaza bana. Siku nitakutag kabisa usijali. Leo angalia za zamani 😜😜😜😜Ewaaa watanzania wanalala mapema Sana na wanachelewa amka ndo tulivo Yani;
Embu jiachie kwa raha zako


Unafanya nini hapo bila taarifa?😳