kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,987
- 4,872
Umefichwa sana huonekani hukuNjema,nipo
Umefichwa sana huonekani hukuNjema,nipo
Majukumu tu yaani,Umefichwa sana huonekani huku
Pole ndio hivyo lazima kuchakarikaMajukumu tu yaani,
Wewe![]()
Ndiyo,u mzima lakini?Pole ndio hivyo lazima kuchakarika
Niko poa kabisa tunamshukuru mungu tunapumua hii pumzi hatulupii hata 100Ndiyo,u mzima lakini?
Mungu ni mwemaNiko poa kabisa tunamshukuru mungu tunapumua hii pumzi hatulupii hata 100
Kabisa kabisaMungu ni mwema
Thank you sumbai mzee wa Hall 5 😄😄😄😄..... Sleeptight...Bantu Lady gd naait
Thankyou.
HahahaKuna watu mnataka kulala bila kuoga wala kupiga mswaki na mmeoa au mmeopoa au mmeopolewa
Nawakumbusha tu![]()
Uchafu uho au ww mtu wakigoma nini 😂Hahaha
Wenye pesa tuu ndio na usiku wanapiga mswaki.
Unaniambiaje mie ambae nimekula vitunguu maji lakini nalala bila kupiga mswaki?Kuna watu mnataka kulala bila kuoga wala kupiga mswaki na mmeoa au mmeopoa au mmeopolewa
Nawakumbusha tu![]()

Wewe una dalili ya kuachwa bila sababu mkuuUnaniambiaje mie ambae nimekula vitunguu maji lakini nalala bila kupiga mswaki?![]()
Kuna watu mnataka kulala bila kuoga wala kupiga mswaki na mmeoa au mmeopoa au mmeopolewa
Nawakumbusha tu![]()

Njoo hapa tupige vyombo‘Mmeopoa au mmeopolewa’
Sijawahi sikia mwanaume akiongea haya maneno
Anyway it’s a free world.
Sisi Wala ugali na sukariHahaha
Wenye pesa tuu ndio na usiku wanapiga mswaki.
Hahaha asante mkuuNjoo hapa tupige vyombo