Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,791
Vitunguu, karoti, hoho, tangawizi, swaumu, nyanya, giligilani na nazi ukipenda
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Nangaa tu natia na nyanya tena na nazi si mchuzi uho
Vitunguu, karoti, hoho, tangawizi, swaumu, nyanya, giligilani na nazi ukipenda
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Mama k hayupo ?Nataka nikaange kuku nitie viungo gani?![]()
Tia majani ya chai au tea masala🤣🤣Nataka nikaange kuku nitie viungo gani?![]()
Kabla ya PhD yangu eeh.. hii hujuma 😌😌😌Watakupoteza chap kwa haraka
Hata wewe nitakupa mchumba muda si mrefu subiri.![]()

Huyo Poor Brain mpatie chombo, maana kawa mpweke sana, hana pa kumwaga upweke wake..Hata wewe nitakupa mchumba muda si mrefu subiri. 😁😁😁😁
Tia majani ya chai au tea masala![]()


sinitakuwa napika chai ya kuku 

Nataka mchumba mwenye UTU na UTULIVU... Asiwe na mambo mengi.Hata wewe nitakupa mchumba muda si mrefu subiri. 😁😁😁😁
Eeeeh subiri kwanza uwe PhdKabla ya PhD yangu eeh.. hii hujuma 😌😌😌
Unataka niuziwe mbuzi kwa gunia sio...🤓🤓🤓🤓🤓Huyo Poor Brain mpatie chombo, maana kawa mpweke sana, hana pa kumwaga upweke wake..
Nawewe nakutafutia next week 😄😄😄😄Acha kumpa matumain kijana wa watu aka wapa watu vibuti uko uku anakutegemea wwe![]()
Aunt Bantu Lady anataka fupisha ndoto zangu za kuwa Dr mwenye PhD yakeEeeeh subiri kwanza uwe Phd
Uta ping kwanza 😅😅Unataka niuziwe mbuzi kwa gunia sio...🤓🤓🤓🤓🤓
Ongea wewe... Maana sio ananipa matumaini hapa kumbe....Acha kumpa matumain kijana wa watu aka wapa watu vibuti uko uku anakutegemea wwe![]()
Nzuriii hiyooooo😂😂😂Uta ping kwanza 😅😅
Na wewe utakatishwa tuuAunt Bantu Lady anataka fupisha ndoto zangu za kuwa Dr mwenye PhD yake
Mama k hayupo ?
Muache yeye achague viungo kwa hali yake anaweza kuwa anachagua vitu


yuko kwao anakuja baadae so huwa namfanyiaga supriseHuyu tutawezana kweliNakupa Ankol wetu National Anthem huyu mkaka poa kabisa. Hana mambo mengi, mtulivu kabisa ushindwe weweukitaka wakaka wa Kikurya wapo pia niwewe tu dear.

Nakuona uko mbioni kuanza na Dr National Anthem nitabaki mimi tu nayeona uvivu kumalizia PHD.Aunt Bantu Lady anataka fupisha ndoto zangu za kuwa Dr mwenye PhD yake
Unajua mwenyewe ulikohamiaBabe nimeibiwa na nani?![]()
