Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,407
- 54,859
Wewe sa hivi unataka uje uteseke tena na kusoma kweli...?Maisha ni kuchagua 😅😅 kasomee kuchola tatooo wadada na kuwafanyia massage .. ufaidi bila sumni😅😅
Wewe sa hivi unataka uje uteseke tena na kusoma kweli...?Maisha ni kuchagua 😅😅 kasomee kuchola tatooo wadada na kuwafanyia massage .. ufaidi bila sumni😅😅
😅😅😅 na nje sipapendi nakomaa hapa hapa tuHiyo phd usitafutie jiji la makonda hapa sawa
😂😂😂 Poor Brain team kataa ndoa😂😂Dahan njoo shoga angu, kuna mchumba huku Poor Brain nimekutafutia Mwachii ukae kwa kutulia 😂😂😂😂😂
Wengine kusoma ni sehemu ya maisha tunapenda tu mkuu.. wala sio matesoWewe sa hivi unataka uje uteseke tena na kusoma kweli...?
Haya yangu macho ngoja nijionee mambo...Mdogo wangu, hiki kifaa cha kimataifa. Ni mzuri acha ataibiwa. Acha kwanza tumsogeze karibu, halafu tujadiliane. Dada yako sina uongo umeona. Kifaa haswaa utaonewa wivu wewe shauri yako.
Tumeambiwa tushukuru kwa kila jambo 😊😊.. huenda sio bahati yangu kwa leoNational Anthem Ankol umepishana na gari ya bahati... sasa na kama Poor Brain unapishana nayo naenda mpa my cousin 😎😎😎😎😎
Kumbeee ndiyo maana ana sita sita. Acha nimpe tu my cousin leadermoe ukuje nimekutafutia kifaa my cousin 😍😍😍😍😂😂😂 Poor Brain team kataa ndoa😂😂
Unakomaa hapo hapo ..😅😅😅 na nje sipapendi nakomaa hapa hapa tu
Weeeeh nani amekuambia😂😂😂😂😂 umeiona wapi hiyo.😂😂😂 Poor Brain team kataa ndoa😂😂
Na nimeshampa my cousin 😂😂😂😂 dada yako sichelewi. Nasikia wewe ni team kataa ndoa 😁😁😁Weeeeh nani amekuambia😂😂😂😂😂 umeiona wapi hiyo.
Hata mimi napenda ila sioWengine kusoma ni sehemu ya maisha tunapenda tu mkuu.. wala sio mateso
Hebu unganisha mitambo chap niwe wifi yakoYupo Mkurya handsome humu, tena ndugu yangu wa damu. Acha niongee naye kwanza maana naye, kama anajisikia fulani ila nammudu tu![]()

Kheee tena unahamisha bahati kwangu tenaNational Anthem Ankol umepishana na gari ya bahati... sasa na kama Poor Brain unapishana nayo naenda mpa my cousin 😎😎😎😎😎
Ngoja niende lunch, nikirudi naunganisha mitambo shoga angu. Usijali hapa umefika 💃💃💃😃😃😃
Sio ngumu kweli?View attachment 2526077
Nimeweka simba
Mbili na tangawizi na chumvi tusijaunguza leo [mention]Jack Palladino [/mention] unaona leo
Nimejitaid

Ongea wewe... Maana sio ananipa matumaini hapa kumbe....


NitakualikaUnakomaa hapo hapo ..
Ndo ujue utosoma hapo.... Amini nakuambia
Hapana banaKumbeee ndiyo maana ana sita sita. Acha nimpe tu my cousin leadermoe ukuje nimekutafutia kifaa my cousin 😍😍😍😍