Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Ooh kumbe hutaki mchuziNangaa tu natia na nyanya tena na nazi si mchuzi uho
Basi iromenet na tangawizi, swaumu na limao
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Ooh kumbe hutaki mchuziNangaa tu natia na nyanya tena na nazi si mchuzi uho
Yupo Mkurya handsome humu, tena ndugu yangu wa damu. Acha niongee naye kwanza maana naye, kama anajisikia fulani ila nammudu tu 😅😅😅😅Huyu tutawezana kweli
Nipe mkurya ama msukuma bana
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Kemea uvivu.... Bantu Lady malizia phd ziwe za kutosha humuNakuona uko mbioni kuanza na Dr National Anthem nitabaki mimi tu nayeona uvivu kumalizia PHD.
sijaunguza leo [mention]Jack Palladino [/mention] unaona leo😅😅😅 kwanza nimechelewa sana na roho inaniuma sana paka mda huu kutokuwa nayo.. mwaka huu naanza mchakato.. kama majukumu hayakubani piga aunt ... sema kingine mie napenda kusoma soma na kujifunza mambo mapya.. na hiyo ni wish toka utotoni nipo na baba nilikuwa namuambia nataka hiyo so acha nitimize ndotoNakuona uko mbioni kuanza na Dr National Anthem nitabaki mimi tu nayeona uvivu kumalizia PHD.
Majukumu mdogo wangu, Uncle wako ambaye ni mwanangu acha afike huko. Miye nisubiri kulea wajukuu sasa 😂😂😂😂😂Kemea uvivu.... Bantu Lady malizia phd ziwe za kutosha humu
🥸🥸🥸 kwenye masomo huwa nipo serious hapo tu nime winNa wewe utakatishwa tuu
Ulivyo na mambo mengi khaaa
Ahahahahah daaah life is not fair....😅😅😅 kwanza nimechelewa sana na roho inaniuma sana paka mda huu kutokuwa nayo.. mwaka huu naanza mchakato.. kama majukumu hayakubani piga aunt ... sema kingine mie napenda kusoma soma na kujifunza mambo mapya.. na hiyo ni wish toka utotoni nipo na baba nilikuwa namuambia nataka hiyo so acha nitimize ndoto
Ilikua zamani sio sasa...!!!🥸🥸🥸 kwenye masomo huwa nipo serious hapo tu nime win
Maisha ni kuchagua 😅😅 kasomee kuchola tatooo wadada na kuwafanyia massage .. ufaidi bila sumni😅😅Ahahahahah daaah life is not fair....
Shikamoo jirani
Tena sasa hivi nitakuwa serious sana, ujana nimemaliza asee 😅😅😅Ilikua zamani sio sasa...!!!
Huyu mwingine anaye itafuta Phd sa hivi kwa nguvu zote ana lake jambo tuu😂😂😂..Majukumu mdogo wangu, Uncle wako ambaye ni mwanangu acha afike huko. Miye nisubiri kulea wajukuu sasa 😂😂😂😂😂
Bado sana.. unaonekana tuTena sasa hivi nitakuwa serious sana, ujana nimemaliza asee 😅😅😅
😅😅😅😅 nitakualika kwenye mahafaliBado sana.. unaonekana tu
Bado sana mambo mengi wewe
Mmmh sasa mbona hata hatuja jadiliana vizuri dada angu Bantu LadyDahan njoo shoga angu, kuna mchumba huku Poor Brain nimekutafutia Mwachii ukae kwa kutulia 😂😂😂😂😂
Hiyo phd usitafutie jiji la makonda hapa sawa😅😅😅😅 nitakualika kwenye mahafali
Mdogo wangu, hiki kifaa cha kimataifa. Ni mzuri acha ataibiwa. Acha kwanza tumsogeze karibu, halafu tujadiliane. Dada yako sina uongo umeona. Kifaa haswaa utaonewa wivu wewe shauri yako.Mmmh sasa mbona hata hatuja jadiliana vizuri dada angu Bantu Lady