Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Mungu si athumani ..Na hatuja fungwa sasa [emoji16][emoji16][emoji16] Bantu Lady
Mungu si athumani ..Na hatuja fungwa sasa [emoji16][emoji16][emoji16] Bantu Lady
Dr unapenda kula sana [emoji2]
Kutafutiana lawama usiku huu ilotako nilitoe wapi aisee😂😂Hahaha nangoja ugeuke ati
Hujambo binti?Njoo umwandalie msosi aunt yako Lenie View attachment 2513984
Jirani Kama jirani!Mungu si athumani ..
Aya njooYoyote tu aunt yangu 😌😌
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]napenda flat njoo kwanguKutafutiana lawama usiku huu ilotako nilitoe wapi aisee[emoji23][emoji23]
Mpira si umeona ulivyotembea mpaka Azam wakawa wanadondoka uwanjani hovyo hovyoShangilieni sare maana ndiyo kilichobakia [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
haha usitufanyie ivo mkuuKutafutiana lawama usiku huu ilotako nilitoe wapi aisee😂😂
Afadhali unitie moyo😀[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]napenda flat njoo kwangu
Nipo hapa aunt 🙂🙂🙂Aya njoo
Ndugu mambo yamendaje huko nimetoka kuugua aisee sijataka tena presha ndogondogo nipashe tu matokeo😀Mpira si umeona ulivyotembea mpaka Azam wakawa wanadondoka uwanjani hovyo hovyo
Kwani unaumizwa na hilo?Afadhali unitie moyo[emoji3]
Hizo lips nzuri sana mama
Waoooo shangazi wangu mzuri, tabasamu lisilo na hila wala mawaaa 🔥🔥🔥🔥
Mchawi shibe tu nikishakula ugali wangu na matembele ni kusmile mwanzo mwisho😀😀@KapachinoWaoooo shangazi wangu mzuri, tabasamu lisilo na hila wala mawaaa 🔥🔥🔥🔥
Mtoto bado mbichi National Anthem ! You look so nice madamme sophy!
Ka sophy hako