Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 7,201
- 21,287
Take care kijana ðŸ˜Cha kunipa unacho
Mathew 7:7-12
Take care kijana ðŸ˜Cha kunipa unacho
Mathew 7:7-12
Babuu naombaa hizo nyeupee.View attachment 2513447
Wale wavivu wenzangu wa kula kwa kuendekeza kufanya kazi sana, msisahu kubebelea hizo.
Kazi ni muhimu lakini afya ya mwili ni muhimu zaidi.
Hello Saturday [emoji1635]
Sema hii tende utengeneza juisi na maziwa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2513447
Wale wavivu wenzangu wa kula kwa kuendekeza kufanya kazi sana, msisahu kubebelea hizo.
Kazi ni muhimu lakini afya ya mwili ni muhimu zaidi.
Hello Saturday [emoji1635]
Polepole Mama Minza na hiyo mibichwa....Sisi hatuna mibichwa kihivyo and our kids are gojazi [emoji91][emoji91][emoji3590]Kwa kweli umependwa kaka!!!Yaani sasa hizi chapa ng'ombe zangu ukiziona na dingi Yao mwee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]walienda bush Kuna mtu aliwaona akasema Hawa watoto wa Fulani Hawa!!![emoji16][emoji16][emoji16]bila hata Mimi na baba Yao kuwepo!!!mibichwa sasaa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Saga hizi uongezee na maziwa mtindi...Maji tumia ya tui la nazi...Tupiamo na karanga mbichi konzi moja....Utakuja kunishukuru [emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099]View attachment 2513447
Wale wavivu wenzangu wa kula kwa kuendekeza kufanya kazi sana, msisahu kubebelea hizo.
Kazi ni muhimu lakini afya ya mwili ni muhimu zaidi.
Hello Saturday [emoji1635]
Mboga anaipenda kuipika Mama yangu na anaiwezea kweli inakuwa tamuuu😋Ulishawahi kula majani ya maboga yaliyochanganya na boga changa yakaongezwa tui la Nazi au karanga
Hebu mje kwanza muonje😋
Mpumzike kula piza
View attachment 2513519
Mbona zote voda?
Hii mboga tamu kwakweli Tena na bi Mkubwa ndo Huwa mafundi hasa sijui huwa wananuia 😂😂😂nawaitu kupika majani ya mabogaMboga anaipenda kuipika Mama yangu na anaiwezea kweli inakuwa tamuuu😋
Power to you brother....[emoji482]+[emoji491]=[emoji4]View attachment 2513745