Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,493
Aisee kuna mtu umefanana naye ile mbaya sijui kaka yako
Hapana mm nawagoogleHiyo ni yako

Awww for the firsrt time in forever I'm seeing your photo,, daah baada ya miaka mia ya kubembeleza.. ubarikiwe sana mama hakika leo nitalala vizuri,, na hii picha naisave..
Nilikuja huko nikakuta kufuli,ikabidi niwe mpole tuPm kuhusike
Sijaionaiko hapo juu mkuu
Hahahaha, wameuona ila makusudi yao tuHaswaaa... ila wakajifanya kama hawajauona ujumbe wangu vile
HahahahaNilikuja huko nikakuta kufuli,ikabidi niwe mpole tu
Pole 😜Nilikuja huko nikakuta kufuli,ikabidi niwe mpole tu
AhsantePole 😜
Nilipita kusalimia tu mzee baba 😂Hahahaha
Ni picha ya nini? Sasa hivi sifungui picha yoyote ya Mshana Jr. Huwa sipendi tu kukwazwa kimakusudi.
Asee Meko ndio kamusi ya wapi hiyo?
Hahahaha, umetisha kwa kupata muda huoNilipita kusalimia tu mzee baba![]()