Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaani nimefurahi sanaaaaaaa natamani hata nikupe zawadi,, yaani hadi picha yako nimeisave na wewe ni mtu wa tatu kusave picha yako kwa gallery yangu tangu watu waanze kutuma picha zao kwa huu uzi..

Hao wawili wa mwanzo siwataji ni siri yangu ila of all the photos in here wewe ni wa tatu my sister,, nimesave picha za watu watatu tu kutoka kwa huu uzi (ukiachilia mbali wale walionitumia picha zao pm) lol..
🙄🙄😉
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani huyo unayemuambia hivyo ndiyo bingwa wa kufuta picha ndani ya sekunde bora hata Depal sema jana kama zali tu na mimi nikamuotea nikaona picha yake
Kama Depal anapenda sana kufuta picha...

Kila nikiview attachment nakuta katoa alafu huko chini nakutana na comment za wadau ziko fire fire tuu..[emoji45]
 
Back
Top Bottom