Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,493
Usiku mwema dada tunakupenda pia
Jaman mlale salamaaaa,muda wa kutafakari niliyoyafanya kwa siku nzima kurekebisha nlipokosea na kupumzisha mwili,muwe na njozi njema,wenye wake/waume/wachumba walolala pamoja kazi njema wale single muhesab mabati vzr hahahahha
Nawapendaaaaaaa





