Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaani nimefurahi sanaaaaaaa natamani hata nikupe zawadi,, yaani hadi picha yako nimeisave na wewe ni mtu wa tatu kusave picha yako kwa gallery yangu tangu watu waanze kutuma picha zao kwa huu uzi..

Hao wawili wa mwanzo siwataji ni siri yangu ila of all the photos in here wewe ni wa tatu my sister,, nimesave picha za watu watatu tu kutoka kwa huu uzi (ukiachilia mbali wale walionitumia picha zao pm) lol..
Mimi ni mvivu kusoma comments nikija kwenye uzi huu huwa napita comments nikiona picha na stop kutizama sijaona dear hata hivyo leo umefurahi.
 
Yaani nimefurahi sanaaaaaaa natamani hata nikupe zawadi,, yaani hadi picha yako nimeisave na wewe ni mtu wa tatu kusave picha yako kwa gallery yangu tangu watu waanze kutuma picha zao kwa huu uzi..

Hao wawili wa mwanzo siwataji ni siri yangu ila of all the photos in here wewe ni wa tatu my sister,, nimesave picha za watu watatu tu kutoka kwa huu uzi (ukiachilia mbali wale walionitumia picha zao pm) lol..
Mamii hata yako iko kwenye ablam yangu nimesevu.
 
Back
Top Bottom