Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,720
- 15,352
Sawa bwaaanaaNdio baridii sana leo
Sawa bwaaanaaNdio baridii sana leo
Wala sio famous nlikuwa naangalia angalia mishono ya nguo nkaipenda nguo yake
Bado dk 3 nianze ķunywaView attachment 1267524
Hivi si ulisema umeacha??
Wapendwa why mnafuta picha hali ya kuwa tumekubaliana jana hakuna kufuta.
Nimerudii..niliacha kwa siku 3![]()
Zawadi ya manyoka?bahati yako hiyo picha ina maneno na nilijua tu ukisoma maneno hautafungua
Nina zawadi yako pm ila tu usinitukane
Mtenda akitendewa hujihisi kaonewaYaani wewe ndiyo wa kuongea hivyo??
Facile
kumbe uliwahi niita huku? Bi kizee mie wala siwezi weka snap hapa... Nashukuru warembo wa JF wametutoa kimasomaso, angalau hatutanangwa tena humu.

kuna warembo humu wengi tu. Mimi na uzee huu hapana kwa kweli hapa si mahali pangu...

Karibu kinyereziDooh hamna muachaji hapo,, nialike basi na mimi location wapi nije??
Huyu jamaa bwana, asa hivi nikifungua huu uzi naweka simu mbaliiii na macho hahaa mana hukawii kukutana na mijoka
Tuko kwenye Mwendokasi afu ni jioni kibus kimeshona hatari then unanikanyaga na hilo buti kwenye kidole lazima chozi linilenge
Zawadi ya manyoka?
Mtenda akitendewa hujihisi kaonewa
Ujio wako location itabadilishwaKaribu kinyerezi