Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
😘😘😘
😘😘😘
Kitu gani
Hii ndio aseno tunayoijua[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2506272
Umeona eeh 🤣🤣🤣Hii ndio aseno tunayoijua
Aaah haha, mtungi wa mihan kilo15 labda.🤣🤣🤣[emoji23]
Mimi mwenyewe napenda cake
Ila huwa natamani kula nikiona sehemu,.
Nikipika Mimi hamu yote ya kula inaniisha.
Ungekuwa kama mtungi wa gesi Mihan[emoji1787],ule mdogo[emoji2098]
Nipo najifunza,kwahiyo napika za kutosha hadi walishachoka kula hapa nyumbani.
Ungekuwa huogopi watu ningekuwa nakuletea hapo Mbezi kwenye ngazi hizo za stand ya daladala[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunapishana kila kila siku hapo Mbezi na husemi😂Aaah haha, mtungi wa mihan kilo15 labda.🤣🤣🤣
Nicheki basi nije kuchukua hapo mbezi Anne, mimi siogopi kitu wala.🤣
Kupamba cakeKitu gani
Thank you😍keep it up Anne
Ile kona kulia.. duara yenye gold. Ingia huko then subscribe to premium.
Ila ni kulipia kdg tu
View attachment 2504870
😋😋
Dr THOMASS SANKARA ,this is proof of your words.Mpishi wa leo....View attachment 2506288View attachment 2506289
Ndyoooo nakua kwa babeee, tunapeana experience za life la ndoa. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Abiria chunga mzigo . Weekend unakuwa kuwa karibu na babe ..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]labda iwe umbali lakini mpo sehemu moja. Muhimu kuwa karibu . Watu wanawinda tu wapate nafasi .
Msalimie dogo janjaa.Mpishi wa leo....View attachment 2506288View attachment 2506289
Loc,
😍
Zimefika 😊Msalimie dogo janjaa.
Ni wapi?Loc,
Mbna km napafahamu??