Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,213
Ingia premium sasa uondoe hayo matangazo
Ingia premium sasa uondoe hayo matangazo
Ahadi ni kama katiba utekelezaji lazima.Inabidi maana ahadi umegoma kutimiza 😏
Leo kweli? Mwenzio nahesabia 2023 ishaisha since Jan is over.😁
Dada H hajambo kabisa 🙂 Hivi did you know her dad?
Hmmm...isiwe kama katiba ya nchi maana ile ni un tekelezable 🤔😁Ahadi ni kama katiba utekelezaji lazima.
Nikahisi nipo sahihi since hatujaonana humu toka 2023 imeanza.
That's great kama hajambo.
Hapana, kwanini umeniuliza?
Ingia premium sasa uondoe hayo matangazo

haya mengine mtihaniHapana si kama ya nchi.Hmmm...isiwe kama katiba ya nchi maana ile ni un tekelezable 🤔😁
Ofcourse!!! Sema tu mie nakaribia 2024 😶🌫️
...because he passed away last month 😢
Yes.Kijana
Ile kona kulia.. duara yenye gold. Ingia huko then subscribe to premium.Wanaingiaje nielekeze maana ninachojua ni kupiga simu , watsap na snapchathaya mengine mtihani
Amegoma
ahaha! boom noma sana, usharejesha hela ya bodi ya mkopo🙂🙂🙂Nakumbukaga nilikuwa nikiingia na mwanangu mmoja hivi wanatugombania Kama mpira.
Utasikia hawa ndo wanaume Sasa wameingia.
Hapo jua tunakata boom karibia lote kisha tunaenda shindia mikate tukirudi maskani cc sumbai
dume wapii.mbona pm kaniambia nimrembo tena kaniambia ana kishundu hatarii🤣🤣sema kagoma kunitumia picha tuu nikione kishundu
Weekend imeanza
Yaani mara paap video ON 😅Weekend imeanza
🤣🤣🤣 Tutakuzoom tuYaani mara paap video ON 😅
Hunitoi out tena?View attachment 2505140
Ngoja sisi tutulie nyumbani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Tutakuzoom tu
Af hatukushtui wala nini