AlexProsper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,412
- 6,281
Eti eeAbiria chunga mzigo . Weekend unakuwa kuwa karibu na babe ..
Eti eeAbiria chunga mzigo . Weekend unakuwa kuwa karibu na babe ..
Kile tatizo ni cha wale mambo safi haswa!!!!!!!💰💰we si hutaki, siku ile hadi nakushika mkono unasema Huna shida na hicho chamaa unataka anzisha chako
😬😬😬 kula nyama tu ? sio kununua Jeep mpya kila miezi sitaKile tatizo ni cha wale mambo safi haswa!!!!!!!💰💰
Mi nataka kuanzisha cha maisha ya kati...hatukosi kula nyama walau mara tatu kwa mwezi.🤓
labda iwe umbali lakini mpo sehemu moja. Muhimu kuwa karibu . Watu wanawinda tu wapate nafasi .Eti ee
Kwa maisha ya kati???Nafurahia tu 🍗🥩🌭 Jeep nasubiria kuzawadiwa au umeghairi?? 🚙😬😬😬 kula nyama tu ? sio kununua Jeep mpya kila miezi sita
Kwa maisha ya kati???Nafurahia tu 🍗🥩🌭 Jeep nasubiria kuzawadiwa au umeghairi?? 🚙
Kuna matunda na kiporo cha jana....tuanze na kipi?nanjaaa kwanza, umepika nini au unajua nimefunga 😒😒😒
kiporo itapendezaKuna matunda na kiporo cha jana....tuanze na kipi?
Eendiwoooooooo Wigeeee napambana na Hare yanguuu miee humu 🙌🙌🙌🙌
Kwa kweli ningeumuka sana, ila nikiziidi hapa watanikimbia...upo vizuri sana Anne...hiyo unaweza kufanya mradi ukaingiza pesa kabisa.[emoji4]
ERoni ningekuwa dada yako ungekuwa ushavimbiwa kitamboView attachment 2506196View attachment 2506198View attachment 2506199
Sent using Jamii Forums mobile app
Babee😍
[emoji23]Kwa kweli ningeumuka sana, ila nikiziidi hapa watanikimbia...upo vizuri sana Anne...hiyo unaweza kufanya mradi ukaingiza pesa kabisa.
Umetisha my ex[emoji6]Mdogo mdogo[emoji23]
Taratibu naenda kujuaView attachment 2506259
Sent using Jamii Forums mobile app
keep it up Anne[emoji4]
ERoni ningekuwa dada yako ungekuwa ushavimbiwa kitamboView attachment 2506196View attachment 2506198View attachment 2506199
Sent using Jamii Forums mobile app