Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wanaingiaje nielekeze maana ninachojua ni kupiga simu , watsap na snapchat [emoji2][emoji2] haya mengine mtihani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42] Nikapumzishe fuvu langu kwareo inatosha wapendwa!!
Kumbee upooooo??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji445]Ooh papaaa kwenye moyo wangu ushaweka alama na chataa kukupenda wewe sina shakaa
Mmhh! Kwenye akili yangu niwewe peke yako umenikaaa
Kwengine roho inakataa ooh!
Moyo umekuamini
Maana huniishi akiliniiii
Sijui umenipa niniiii
Mmh! Au umenitupia kajini
Ndiomana umeniwin
Maana huniishi akiliniiii .
Imani nilonayooo imetengenezwa nawewe huko nyuma waliniangusha ukaniokota ukanipangusaa
Upendo tulonao umetengenezwa namimi nawewe
Penzi tamuu[emoji1732][emoji443]




Usiku mwema wapendwa na muwe na weekend njema[emoji3577]
Hayaaa kumekuchaaaaaaa!!! Hadi wimboo unaimbaaa kupatwaa kwa mahaba huku.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna mwingine zaidi yake ndugu mjumbe Hio mistari ya sweetdaddie mjeshi!! Nimemmis kweli hapa[emoji18]
Habari za masiku ndugu mjumbe [emoji113]!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] liongo wee khaaah.
 
Love is a promise , love is souvenir , once given never forgoten .. Never let it disappear .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijaelewaa, em weka kwa kiswahili bhana cc.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msalimie.

Nipo zangu kwa genius, tumepeana jina jipya leo "baba tamu" kwa "mama tamu"

Sio kwa kukunjwa hukuu kwa leo, wazazi wanajua tunasoma, kumbe sisi tupo kuinamishanaa na kushikishana ukutaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hallah weekend.!!!
 
Back
Top Bottom