Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Miamvuli si ipo, me ninayo miwili nitakuazima mmoja[mention]Lenie [/mention] mvua hii tutatoka kweli hapa
Miamvuli si ipo, me ninayo miwili nitakuazima mmoja[mention]Lenie [/mention] mvua hii tutatoka kweli hapa
Sounds good 🙂Hapana si kama ya nchi.
Eti eeh?🤔 Kumbe is time travel possible?
Poleni sana, sana, may his soul rest in peace .. Amen🙏🏼
Miamvuli si ipo, me ninayo miwili nitakuazima mmoja
Nami ndio naangalia hiki kipindi hapa, sasa wakati kinaanza nimekaa na mtu ananiambia huyo Mwijaku hapo unavomuona ana MBA yani ndio nimejua leo, nimeshangaa sana
Nnacho tayari 😓😓Utaki kitambia sio
Nnacho tayari [emoji29][emoji29]
Kwamba mjeshi au mwingine anapewa hio mistari hio [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Antonnia[emoji445]Ooh papaaa kwenye moyo wangu ushaweka alama na chataa kukupenda wewe sina shakaa
Mmhh! Kwenye akili yangu niwewe peke yako umenikaaa
Kwengine roho inakataa ooh!
Moyo umekuamini
Maana huniishi akiliniiii
Sijui umenipa niniiii
Mmh! Au umenitupia kajini
Ndiomana umeniwin
Maana huniishi akiliniiii .
Imani nilonayooo imetengenezwa nawewe huko nyuma waliniangusha ukaniokota ukanipangusaa
Upendo tulonao umetengenezwa namimi nawewe
Penzi tamuu[emoji1732][emoji443]
Usiku mwema wapendwa na muwe na weekend njema[emoji3577]
Kupatwa kwa Tonia[emoji445]Ooh papaaa kwenye moyo wangu ushaweka alama na chataa kukupenda wewe sina shakaa
Mmhh! Kwenye akili yangu niwewe peke yako umenikaaa
Kwengine roho inakataa ooh!
Moyo umekuamini
Maana huniishi akiliniiii
Sijui umenipa niniiii
Mmh! Au umenitupia kajini
Ndiomana umeniwin
Maana huniishi akiliniiii .
Imani nilonayooo imetengenezwa nawewe huko nyuma waliniangusha ukaniokota ukanipangusaa
Upendo tulonao umetengenezwa namimi nawewe
Penzi tamuu[emoji1732][emoji443]
Usiku mwema wapendwa na muwe na weekend njema[emoji3577]
Ndio, nipo home saivi[mention]Lenie [/mention] umerudi home
Ndio, nipo home saivi
Unaenda wapiMimi ndio natoka hivyo
Nimeshafunga getiMimi ndio natoka hivyo
Hapana Wigeee! Babu wake bibi muheshimu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!Kupatwa kwa Tonia
Lile zee la mchongo
Nalo lilitoa singo
Nawazoom tu
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Kakaake umemisika
Unaenda wapi