Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,334
Asa nitakujaje, nipae?
Kwa miguu
Asa nitakujaje, nipae?
Wige kauliza Kwani ukinibless nitaondoka nayo??Wige[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Madam ni rafiki na mshkaji sana, usituchonganishe!!
Haina shida mkuuNitakufanyia wepesi wala usijali.
Madam hujamuelewa huyo mwamba, ana mambo mengi we achana nae[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wige kauliza Kwani ukinibless nitaondoka nayo??
Wigelekelo ERoni nimewaita mara mbiliHaya Usiku umeingia ERoni ukalale sasa cc Wigelekelo😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴
Sexy momma 😗Haya Usiku umeingia ERoni ukalale sasa cc Wigelekelo😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴
Mmmmh, aisee kweli kuna watu wanafaudu..daah!Haya Usiku umeingia ERoni ukalale sasa cc Wigelekelo[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Mwehh Kamera tu mkuuMmmmh, aisee kweli kuna watu wanafaudu..daah!
Aaaah aloo! Haya bwana...wige ana haki ya kunisukumizia, nisingekataa..hahah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wigelekelo ERoni nimewaita mara mbili
Wige mwehuu yulee akili zake anazijua mwenyewe!Aaaah aloo! Haya bwana...wige ana haki ya kunisukumizia, nisingekataa..hahah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Endeleeni kufunga pm zenu, manake kwa hali hii ningeshazama piemuni mda🤣🤣🤣Wige mwehuu yulee akili zake anazijua mwenyewe!
Mi mbona sijafunga walaa nashangaa mnaniambia nimefunga eti,! Ipo waziiii😛🤗Endeleeni kufunga pm zenu, manake kwa hali hii ningeshazama piemuni mda🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣unazingua madam!!Mi mbona sijafunga walaa nashangaa mnaniambia nimefunga eti,! Ipo waziiii😛🤗
Nijee[emoji6][emoji6]Mi mbona sijafunga walaa nashangaa mnaniambia nimefunga eti,! Ipo waziiii[emoji14][emoji847]
Nzuri kabisa aise sijui wewe maisha yanaendaaje ndugu mjumbe AntonniaHakuna mwingine zaidi yake ndugu mjumbe Hio mistari ya sweetdaddie mjeshi!! Nimemmis kweli hapa[emoji18]
Habari za masiku ndugu mjumbe [emoji113]!