ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,441
- 119,010
Aisee, kweli mwezi wa wanaopendana unaenda kasi.Ooh papaaa kwenye moyo wangu ushaweka alama na chataa kukupenda wewe sina shakaa
Mmhh! Kwenye akili yangu niwewe peke yako umenikaaa
Kwengine roho inakataa ooh!
Moyo umekuamini
Maana huniishi akiliniiii
Sijui umenipa niniiii
Mmh! Au umenitupia kajini
Ndiomana umeniwin
Maana huniishi akiliniiii .
Imani nilonayooo imetengenezwa nawewe huko nyuma waliniangusha ukaniokota ukanipangusaa
Upendo tulonao umetengenezwa namimi nawewe
Penzi tamuu
Usiku mwema wapendwa na muwe na weekend njema![]()
Ooh papaaa kwenye moyo wangu ushaweka alama na chataa kukupenda wewe sina shakaa 



