Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Bora urudi homešUwii nilisahau na pia nina bonge la assignment badae, basi mtoko naona nimeukosa mwee
Bora urudi homešUwii nilisahau na pia nina bonge la assignment badae, basi mtoko naona nimeukosa mwee
Wacha nijiondoe hapa chapBora urudi homeš
Geto lako limetulia sana mkuu!View attachment 2505140
Ngoja sisi tutulie nyumbani
Utanikuta hapa hapa town
Geto lako limetulia sana mkuu!
Bora urudi home![]()



Hapo umesave mkuuAhahahah af zamu yetu usafi itabidi niwai kuamka nisha ona dalili za kuto toka hapa![]()


Nani huyu?
MwijakuNani huyu?

Duh yule jamaa ameshindwa kutumia elimu yake ameishia kufanya mambo ya ovyo tu!Mwijaku![]()
Duh yule jamaa ameshindwa kutumia elimu yake ameishia kufanya mambo ya ovyo tu!


nilitaman nikampe zawadi yule mhYule ni wakumkataa kabisa!..ana ujinga mwingi.Ana sifa za ajabu ata kwenye vikao vya kiserikali akitokea analeta shobo kwa wakubwa kuna mmoja alimkataa aliona aibunilitaman nikampe zawadi yule mh
Yule ni wakumkataa kabisa!..ana ujinga mwingi.
Nami ndio naangalia hiki kipindi hapa, sasa wakati kinaanza nimekaa na Mtu ananiambia huyo Mwijaku hapo unavomuona ana Masters sijui MBA yani ndio nimejua leo, nimeshangaa sanaDuh yule jamaa ameshindwa kutumia elimu yake ameishia kufanya mambo ya ovyo tu!