Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

894332e04f95bde9ba7574e2de9ab4fa.jpg
 
Nipoo shougaaangu maisha yamenila kibogaaaaaaaa kipenziiiii![emoji23][emoji23]
Naanzaje kunataa mieee nina nini cha maana hataaa!!
Nimekumiss hadi naumwaa [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]!
Nimekumic mnooooo. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]

Yamekukula kibogaaa eti? Ila shougaaa khaaah
 
Mie ningekua nakunywa pombee afu nitumie mjani.
Mbna Dunia ingestaajabu, hapa enyewe situmii ila niko resiii hivi,. Daaah

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Form 4 2022 results outttttttt[emoji3577][emoji3577][emoji3577]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakumbukaaa mwaka wetu nilikua nawaza tokeo, sio kupasua, ila je credits zitakua ndani ya vigezo vya kwenda special school.
Afu kwa comb pia, maan niliwaza phys iliniinamishaa kwenye pepa,

Woiiiiiiii nikakutaa B inachekelea, aririiiiiii

Results ya 4m 4 ina uzito hata ya 4m 6 haioni ndani.
 
Back
Top Bottom