Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Jinsia gan? Dogoo amebutuaaa sanaaaaa, yaan amepangusaa poteeee. Na palee juu kuna mwngne kagonga ya 12.

Km wa kiumee anaenda Mzumbe, km wa kike anaenda Tabora girls.

Utanambia selection zikitokaaa.
1 zipozipoooo kidogoooo Female 1 zipo 10 MALE 13 ! 2 three zaufauluu piaa zipooo! ziro zipo 5!!! Lile darasa lilikua kichomiii unajua kichomii!!
Sasa la mwaka huu ndio vichomi pro nakwambia matokeo ya mwakani sijui kwakweli!!
 
Njooo unichambe trani yako kipenziiiiiiii nipo Nafurahia matekeo mieeee! Ziro tulizotarajia zimekuja chachee mnoooooooo
sio kwa wale watoto waliokua wanashinda Msituni nyieeeeee!! Siku wakavamiwa msituni na walimu tukakuta majikoo ya kupikia gongooo virobaa kondoms sufuria zinapikiwa haziduguliwiii mieziiii Mzazi anakwambia mbona mwanangu kila siku anakuja shule na kurudi jioni Huku shule hafikiii mieziiii na miezi au akifika akaitwa majinatu huyooo anaishia msituni hukooo hapo watoto washasajiliwa huwezi kuwafukuza no way itabidi wapewe saspaaa wakuje siku ya pepaaa!!
Kmanina zao wale watrotrooo!!
Halafu unaambiwa fimbo zisiwepo eti Antonnia
 
We ni mwalim?

Kuna mtu huko kaandika walimu msihangaike na watoto, either wafeli/ wafaulu
Eendiwoooooooo kipenziiiiiiiii! Mimi hata sihangaiki kuchapa mtoto wa mtu watoto wenyewe hawa afya mgogoroo!! Sitaki lawama za rejareja kabisaaa!!
Mi huwa nawapigisha magoti na kuwafinya masikioo na mashavuu ile njwiiiiiiiiii kidogo tu lakini🤣😂😂😂😂😂😁😁
 
Back
Top Bottom