Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23] Alafu ukimkuta majukwaa mengine unaanza kumtongoza. Ulimtaka kakukataa, ukaenda kwa tins kakukataa ukaenda kwa lenie ukapigwa na kitu kizito saivi umeisusa kabisa selfika unakuja kwa kubeep beep unamvizia sijui nani [emoji23]

Nadate na Moderator fulan hivi ila kausha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo ana Cheti chake chenye lamination kabisa milembe nani amkubali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji16]!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Back
Top Bottom