Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,224
Kwamba ina madhara 😀Hahaha hyo karibu nshaishtukia
Kwamba ina madhara 😀Hahaha hyo karibu nshaishtukia
Kwamba ina madhara![]()
Viatu, uso na viganja vya mikono vinamtambulisha kwa urahisi aina ya kazi anayofanya mtu na personality yake kiujumla.Uliza kiatu hahaha naona viatuuu tuuuView attachment 1267419
Uliza kiatu hahaha naona viatuuu tuuuView attachment 1267419




Uliza kiatu hahaha naona viatuuu tuuuView attachment 1267419
Hi ni kama hii...uliza kiatu...View attachment 1267414
Tuko kwenye Mwendokasi afu ni jioni kibus kimeshona hatari then unanikanyaga na hilo buti kwenye kidole lazima chozi linilengeHi ni kama hiiView attachment 1267445
Khaaa wale kina Ghadaff wametupigaje wakat kipindi cha kwanza tuliwazidi,anyway tutawafungia kwetu
Ana bahati mbaya saaana. Hebu fanya kumfikiria upya
Ana bahati mbaya saaana. Hebu fanya kumfikiria upya
Hahahha sikuwa najua mwenzioDada kwani haujui kwamba siku hizi kirefu cha TFF ni Tanzania Football Failures na siyo Federation tena??
Viatu, uso na viganja vya mikono vinamtambulisha kwa urahisi aina ya kazi anayofanya mtu na personality yake kiujumla.
Mapaja yapo sehemu yake..ugonjwa wangu huo![]()
Mkuu we unachat tu humu,ebu tufanyie fair leo uchat na pichaHaha kutakuwa hakuna namna![]()
View attachment 1267443tubadilishane![]()
Sio umesikia tumepigwa...tumepwigwa haswaa